Ukraine yashambulia maghala 2 zaidi ya mafuta ndani ya Russia

Ukraine yashambulia maghala 2 zaidi ya mafuta ndani ya Russia

Huko kursk watu wa Ukraine waliovamia ardhi hiyo wanazidi kupungua kwa kuuliwa na wanajeshi wa Urusi.
Sio TU watu,Bali watu na silaha zao.

Ukraine Loses Up to 7,450 Troops During Operation in Kursk Region - MoD

MOSCOW (Sputnik) - The Russian armed forces have eliminated up to 7,450 Ukrainian servicepeople, 74 tanks and 36 infantry fighting vehicles during military operations in the border areas of the Kursk Region, the Russian Defense Ministry said on Thursday.
"In total, during the military operations in the Kursk area, the enemy lost up to 7,450 servicepeople, 74 tanks, 36 infantry fighting vehicles," the ministry said in a statement.
Over the past 24 hours, Kiev lost more than 400 servicepeople in the Kursk area, the ministry also said.
Tangu hizo taarifa za kusema kila siku wanapungua si wangekuwa wameisha? Mlisema wameuawa wote cha ajabu walioawa wakazidi kusonga.
Kila mkisema wanauawa wao ndiyo wanazidi kuinarika na kusonga mbele na Russia hajafanikiwa kurudisha hata inchi moja ya ardhi iliyotekwa.
Sasa hao ndiyo Russia wenu wanaoshindwa na na watu waliouawa kuna jeshi hapo?
 
Mmeanzisha Jukwaa lingine huku
Moderator funga hii ijumuishe kule
 
sasa maghala yameshambuliwa wewe unakuja maneno ya nusu mstari eti hakuna hasara, mapenzi yako kwa putin mwisho mtakuwa mnalizana lizana tu, kumbuka putin alisema ikishambuliwa russia ataanzisha vita ya nuclear
Mkuu, naona yupo kimia, utafikiri hakusema; mambo yamemzidi na Mra Kiduku kaufyata, hana msaada. Wanaume wamepata eneo (urusi) sahihi na wakati mwafaka wa kujaribia silaha hao.
 
Mkuu, naona yupo kimia, utafikiri hakusema; mambo yamemzidi na Mra Kiduku kaufyata, hana msaada. Wanaume wamepata eneo (urusi) sahihi na wakati mwafaka wa kujaribia silaha hao.
 
Tangu hizo taarifa za kusema kila siku wanapungua si wangekuwa wameisha? Mlisema wameuawa wote cha ajabu walioawa wakazidi kusonga.
Kila mkisema wanauawa wao ndiyo wanazidi kuinarika na kusonga mbele na Russia hajafanikiwa kurudisha hata inchi moja ya ardhi iliyotekwa.
Sasa hao ndiyo Russia wenu wanaoshindwa na na watu waliouawa kuna jeshi hapo?
Waukraine wakiuliwa wanageuka askari wafu same kama wale Army of dead, White Walkers maana hawaishi tu miaka mitatu now dah
 
"Hakuna hasara iliyoripotiwa" ina maana kwamba Wataalam au chombo cha kufanya Tathmini (assessment)hawajakamilisha kazi yao au kazi hiyo itafanyika baada ya moto kuzimwa. Hii haimaanishi eti work done is equal to Zero. Hapana.
Hata mafuta yanayoungua, mindombinu n.k. Ni Hasara pia.
Majibu aliyotoa jamaa kuwa hakuna hasara ni kama ya Facebook sio JF.
 
Back
Top Bottom