Ukraine yashambulia meli kubwa ya Urusi

Ukraine yashambulia meli kubwa ya Urusi

Yani wameshambulia meli ile ya zamani sana haikuwa katika operation ya aina yoyote ile na media nyingi zilikanusha habari hio sababu Mrusi haku confirms hio habari ila badaye sababu wengi hawamuamini muUkraine [emoji23] huwa muongo sana.
Ikiuma chomoa
 
Yani wameshambulia meli ile ya zamani sana haikuwa katika operation ya aina yoyote ile na media nyingi zilikanusha habari hio sababu Mrusi haku confirms hio habari ila badaye sababu wengi hawamuamini muUkraine 😂 huwa muongo sana.
Inaitwaje hiyo meli ya zamani iliyoshambuliwa?
 
Ila nyie jamaa niseme tu nakuheshimu ila una uwehu... Sasa hiki ni Cha kushangilianna kuanzisha Uzi kabisaaa!!? Wamefanya mara ngapi imewasaidia kurudisha nini kilichochukuliwa!?? Asee ujinga mzigo sana...

Check video kabisa

 
Back
Top Bottom