Ukraine yazika watu kwenye kaburi moja

nakuuliza wewe mmarekani superpower ambaye unamaliza kazi ndani ya siku 3 km ulivyofanya iraq na libya
Putin wakati anasema opereseheni ingekuwa ya muda mfupi kama masaa 72 hivi alikuwa anawaza nini, alifikiri anaenda kuteka vipofu.
 
Rais wa Ukraine ni comedian , hivi unasemaje Russia anashikiria raia 300,000 wakati yeye rais wa Ukraine aliamrisha raia wote wawe wapiganaji? Yaani ni kosa kubwa sana kuchagua rais msanii
 
Ubaguzi upo nchi nyingi sio urusi tu, france ndo usiseme
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema raia 300,000 wametekwa na vikosi vya Urusi
Hao waliotekwa si ndio hawa hapa walijivua uraia pale walipokubali kubebeshwa bunduki kupigana na majeshi ya Russia yenye mafunzo ya kivita

Mwambieni Zelensky aache kulialia, si alitangaza raia washike bunduki waingie kwenye uwanja wa vita kama wajeda?!


 
duh! ila raia wameponzwa na huyo comedian na mbwa mkubwa (U.S.A),ningekuwa putin hiyo ndio njia pekee iliyobakia na kuanzia muda huu raia wataumia sana...
 
Ubaguzi upo nchi nyingi sio urusi tu, france ndo usiseme
Kwa taarifa yako Ufaransa ndio nchi yenye weusi wengi Ulaya nzima, nchi kama Russia haiwezi katu kukubali watu weusi kama wakazi wake. Never.
 
Kwa taarifa yako Ufaransa ndio nchi yenye weusi wengi Ulaya nzima, nchi kama Russia haiwezi katu kukubali watu weusi kama wakazi wake. Never.
Unajua sababu gani weusi wengi wapo ufaransa!?
 
Hawa walishirikiana na Marekani kuivamia Iraq hawa, waliwauwa sana Wairaq sasa mnyama kwao. Russia piga sana hayo Makima.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…