Putin wakati anasema opereseheni ingekuwa ya muda mfupi kama masaa 72 hivi alikuwa anawaza nini, alifikiri anaenda kuteka vipofu.nakuuliza wewe mmarekani superpower ambaye unamaliza kazi ndani ya siku 3 km ulivyofanya iraq na libya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin wakati anasema opereseheni ingekuwa ya muda mfupi kama masaa 72 hivi alikuwa anawaza nini, alifikiri anaenda kuteka vipofu.nakuuliza wewe mmarekani superpower ambaye unamaliza kazi ndani ya siku 3 km ulivyofanya iraq na libya
Rais wa Ukraine ni comedian , hivi unasemaje Russia anashikiria raia 300,000 wakati yeye rais wa Ukraine aliamrisha raia wote wawe wapiganaji? Yaani ni kosa kubwa sana kuchagua rais msaniiKutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300
Ili kupunguza maiti mtaani, uongozi wa jiji umechimba mfereji wa urefu wa mita 22 na kuzika maiti kwa pamoja zikiwa katika mifuko ya plastik au mablanketi.
Tangu Jumanne wananchi wameshindwa kupata huduma za maji na Umeme. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema raia 300,000 wametekwa na vikosi vya Urusi
====
Disturbing photos show bodies being lowered into a mass grave in the besieged city of Mariupol, southern Ukraine on Wednesday.
The images from the Associated Press show men, some dressed in overalls or blue protective suits, placing bodies into a trench. In some photos, the corpses are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets.
The city has been under attack for days, bombarded and isolated by Russian forces.
At least 1,300 civilians have been killed in Mariupol since the Russian invasion began, an adviser to the city's mayor said Wednesday.
![]()
Some of the bodies are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets. (Evgeniy Maloletka/AP)
Residents have been cut off from water and electricity and on Tuesday Ukraine's Foreign Minister accused Russia of committing war crimes by holding 300,000 civilians “hostage.
To deal with the sheer number of bodies, city workers dug a deep trench over 75 feet (22 meters) long inside a graveyard and laid to rest the bodies of soldiers and civilians who had been killed during repeated attacks by Russian forces.
Evgeniy Maloletka, a photojournalist with the AP who captured the scene, said some of the bodies are "brought wrapped in carpets or plastic bags." "Forty came Tuesday, another 30 so far Wednesday," he added.
Kuna ndugu yangu moja sasa hivi ni marehemu, alipelekwa na serikali nchini Urusi (USSR) mwishoni mwa miaka ya sabini kusomea utaalamu wa miamba (Geology) na walikuwa katika mji wa Leningrad (leo hii inaitwa St Petersburg).
Alikuwa akitusimulia kwamba mrusi akiwa roommate wako chuoni halafu akufanyie udokozi kisha umuulize kistaarabu tu kwamba bwana kuna kitu changu fulani kulikuwa hapa lakini sikioni vipi unaweza ukawa umekichukua?
Akishakwambia sijakiona, unatakiwa uachane naye kuokoa roho yako kwani ukiendelea kubishana naye kwamba mbona tuko wawili tu humu na wewe, tayari inakuwa ni vita kabisa ameshachomoa kabisa "Kitchen Knife [emoji380]) anakutoa utumbo usipokimbia.
Alisema kuna wanigeria watatu (moja akiwa mwanamke) na mkenya moja na mzambia moja waliuwawa katika mazingira hayo.
Alituambia kwamba mrusi kuua mtu mweusi ni sekunde na wala usitegemee kwamba atafanywa chochote na mamlaka, haitapita hata mwezi atakuwa ameshaachiliwa huru.
Hao waliotekwa si ndio hawa hapa walijivua uraia pale walipokubali kubebeshwa bunduki kupigana na majeshi ya Russia yenye mafunzo ya kivitaWaziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema raia 300,000 wametekwa na vikosi vya Urusi
tupe link ya hio habariPutin wakati anasema opereseheni ingekuwa ya muda mfupi kama masaa 72 hivi alikuwa anawaza nini, alifikiri anaenda kuteka vipofu.
Kwa taarifa yako Ufaransa ndio nchi yenye weusi wengi Ulaya nzima, nchi kama Russia haiwezi katu kukubali watu weusi kama wakazi wake. Never.Ubaguzi upo nchi nyingi sio urusi tu, france ndo usiseme
Unajua sababu gani weusi wengi wapo ufaransa!?Kwa taarifa yako Ufaransa ndio nchi yenye weusi wengi Ulaya nzima, nchi kama Russia haiwezi katu kukubali watu weusi kama wakazi wake. Never.
Hawa walishirikiana na Marekani kuivamia Iraq hawa, waliwauwa sana Wairaq sasa mnyama kwao. Russia piga sana hayo Makima.Kutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300
Ili kupunguza maiti mtaani, uongozi wa jiji umechimba mfereji wa urefu wa mita 22 na kuzika maiti kwa pamoja zikiwa katika mifuko ya plastik au mablanketi.
Tangu Jumanne wananchi wameshindwa kupata huduma za maji na Umeme. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema raia 300,000 wametekwa na vikosi vya Urusi
====
Disturbing photos show bodies being lowered into a mass grave in the besieged city of Mariupol, southern Ukraine on Wednesday.
The images from the Associated Press show men, some dressed in overalls or blue protective suits, placing bodies into a trench. In some photos, the corpses are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets.
The city has been under attack for days, bombarded and isolated by Russian forces.
At least 1,300 civilians have been killed in Mariupol since the Russian invasion began, an adviser to the city's mayor said Wednesday.
![]()
Some of the bodies are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets. (Evgeniy Maloletka/AP)
Residents have been cut off from water and electricity and on Tuesday Ukraine's Foreign Minister accused Russia of committing war crimes by holding 300,000 civilians “hostage.
To deal with the sheer number of bodies, city workers dug a deep trench over 75 feet (22 meters) long inside a graveyard and laid to rest the bodies of soldiers and civilians who had been killed during repeated attacks by Russian forces.
Evgeniy Maloletka, a photojournalist with the AP who captured the scene, said some of the bodies are "brought wrapped in carpets or plastic bags." "Forty came Tuesday, another 30 so far Wednesday," he added.
Wafaransa walikuwa wanawapa sana uraia wale watu waliokuwa wanatoka kwenye makoloni yao wakiwachukulia kama French Citizens.Unajua sababu gani weusi wengi wapo ufaransa!?
Jinga.Kwamba Putin ni mungu wako??. Afrika jinga sana.Hizi propaganda wala hazitawasalimisha,
Baba Putin endelea tu mpaka waite maji
Mma
mimi sio mjinga na putin sio mungu wanguJinga.Kwamba Putin ni mungu wako??. Afrika jinga sana.