Hawa jamaa ukiwaondolea vitisho vya dini ni watu waovu sana na wasiojitambua kabisa .Yesu hakuwa Mkristo
Mtume Muhammad hakuwa Muislamu
Buddha hakuwa Buddhism.
Dini ya ukristo, uislamu na mabuda zimetokea wapi? tafakari na ujiulize huku ukitafuta historia ya kina si ya juu juu utapotoshwa.
Huhitaji kuwa mkristo, Muislamu n.k badala yake uishi na kuyaenenda kama ya Yesu, mtume Muhammad na wengineo.
Nasikitika kusema wengi kama sio wote wanaopenda na kushabikia dini au wafia dini wapo shallow sana kiroho au kwa lugha nyingine wamefungwa wapo magerezani.
Sawa sina akili...lakini uwe na kumbukumbu ya kufanya rejea unapojenga hoja...Sijui kama unayo akili kweli? Kwani kila asiye na dini ni shoga na mbadili jinsia? Jitafakari .
Wapi nimesema wazungu wameziacha dini?Sawa sina akili...lakini uwe na kumbukumbu ya kufanya rejea unapojenga hoja...
Nimetoa mfano huo baada ya wewe kusema wazungu wameziacha dini...ndiposa nikakuonesha upotovu mkuu wa maadili kwa mifano hiyo
Sasa kama uelewa wako ni mgu namna hii utaishia kusema sina akili badala ya kujenga hoja kimantiki
Dini ni ScamDini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'
Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?
Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.
Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.
Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?
Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.
Mbona hapo sijaona baya lolote kwani hukusikia sikuile mashekhe walivyosena watayaamuru majini yampigie kura Samia?Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'
Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?
Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.
Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.
Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?
Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.
HAKUNA kiongozi wa dini pale, kuna waganga njaaDini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'
Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?
Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.
Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.
Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?
Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.
Aisee wewe hilo fuvu umewekewa hasara....Si kila anachofanya mzungu ni sahihi
Unajua hali ngumu ya kimaadili wanayopitia wazungu kwa sababu ya hili
Unajua kushamiri na kupigiwa upatu mambo ya hovyo kama kubadili jinsia...ushoga nk ni matokeo ya kukataa dini?
Unajua kama mauaji ya hovyo hovyo mfano kufyatuliana risasi na uhuru wa kila mtu kufanya chochote ni matokeo ya kubeza dini?
Unajua kuishi maisha ya upweke mpaka mtu anaishi na wanyama kama mbwa kama ndugu zake hali amemtelekeza baba au mama yake ambaye ni mzee kwenye nyumba za kulelea wazee ni matokeo ya kudharau dini?
Dini ya Kikristo asili yake si ulaya...kabla ya ukristo wazungu walikuwa wapagani pia na bado upagani upo kwa kiwango cha juu tuu...nchi kama Spain na Romania ni mifano michache
Dini nyingi asili yake ni Mashariki ya kati
SawaAisee wewe hilo fuvu umewekewa hasara....
Halafu dini yenyewe ni kama upigaji tu, ikishakutafuna sana ndiyo uhakika kuhundua kumbe mambo halisi siyo hivi yalivyo!Si kila anachofanya mzungu ni sahihi
Unajua hali ngumu ya kimaadili wanayopitia wazungu kwa sababu ya hili
Unajua kushamiri na kupigiwa upatu mambo ya hovyo kama kubadili jinsia...ushoga nk ni matokeo ya kukataa dini?
Unajua kama mauaji ya hovyo hovyo mfano kufyatuliana risasi na uhuru wa kila mtu kufanya chochote ni matokeo ya kubeza dini?
Unajua kuishi maisha ya upweke mpaka mtu anaishi na wanyama kama mbwa kama ndugu zake hali amemtelekeza baba au mama yake ambaye ni mzee kwenye nyumba za kulelea wazee ni matokeo ya kudharau dini?
Dini ya Kikristo asili yake si ulaya...kabla ya ukristo wazungu walikuwa wapagani pia na bado upagani upo kwa kiwango cha juu tuu...nchi kama Spain na Romania ni mifano michache
Dini nyingi asili yake ni Mashariki ya kati
Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'
Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?
Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.
Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.
Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?
Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.
Muktadha wa mada siyo kuelezea maana ama chanzo cha dini, bali ni kuonesha dini kutumika na wanasiasa na wasanii kipumbaf pumbaf, saazingine bila wao kujua.mbona hata waislam wanatumika katika abrakadabra kama hizi? Unawasifu waislam kutokuchezewa dini yao wakati hiyo dini ni uongo mtupu kuwahi kutokea duniani, a big scam, how they create islam