Ukristo katika aibu kubwa Tanzania

Ukristo katika aibu kubwa Tanzania

Yesu hakuwa Mkristo

Mtume Muhammad hakuwa Muislamu

Buddha hakuwa Buddhism.

Dini ya ukristo, uislamu na mabuda zimetokea wapi? tafakari na ujiulize huku ukitafuta historia ya kina si ya juu juu utapotoshwa.

Huhitaji kuwa mkristo, Muislamu n.k badala yake uishi na kuyaenenda kama ya Yesu, mtume Muhammad na wengineo.

Nasikitika kusema wengi kama sio wote wanaopenda na kushabikia dini au wafia dini wapo shallow sana kiroho au kwa lugha nyingine wamefungwa wapo magerezani.
Hawa jamaa ukiwaondolea vitisho vya dini ni watu waovu sana na wasiojitambua kabisa .
 
Sijui kama unayo akili kweli? Kwani kila asiye na dini ni shoga na mbadili jinsia? Jitafakari .
Sawa sina akili...lakini uwe na kumbukumbu ya kufanya rejea unapojenga hoja...

Nimetoa mfano huo baada ya wewe kusema wazungu wameziacha dini...ndiposa nikakuonesha upotovu mkuu wa maadili kwa mifano hiyo

Sasa kama uelewa wako ni mgu namna hii utaishia kusema sina akili badala ya kujenga hoja kimantiki
 
Wapi nimesema wazungu wameziacha dini?
 
Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.

Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.

Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'

Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?

Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.

Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.

Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?

Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.
Dini ni Scam
 
Mbona hapo sijaona baya lolote kwani hukusikia sikuile mashekhe walivyosena watayaamuru majini yampigie kura Samia?

Je anayeomwomba mungu na anayeomba majini Samia ashinde yupi kaidia aibu Imani yake?
 
Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.

Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.

Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'

Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?

Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.

Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.

Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?

Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.
HAKUNA kiongozi wa dini pale, kuna waganga njaa
 
Si kila anachofanya mzungu ni sahihi

Unajua hali ngumu ya kimaadili wanayopitia wazungu kwa sababu ya hili

Unajua kushamiri na kupigiwa upatu mambo ya hovyo kama kubadili jinsia...ushoga nk ni matokeo ya kukataa dini?

Unajua kama mauaji ya hovyo hovyo mfano kufyatuliana risasi na uhuru wa kila mtu kufanya chochote ni matokeo ya kubeza dini?

Unajua kuishi maisha ya upweke mpaka mtu anaishi na wanyama kama mbwa kama ndugu zake hali amemtelekeza baba au mama yake ambaye ni mzee kwenye nyumba za kulelea wazee ni matokeo ya kudharau dini?

Dini ya Kikristo asili yake si ulaya...kabla ya ukristo wazungu walikuwa wapagani pia na bado upagani upo kwa kiwango cha juu tuu...nchi kama Spain na Romania ni mifano michache

Dini nyingi asili yake ni Mashariki ya kati
Aisee wewe hilo fuvu umewekewa hasara....
 
Halafu dini yenyewe ni kama upigaji tu, ikishakutafuna sana ndiyo uhakika kuhundua kumbe mambo halisi siyo hivi yalivyo!
 
Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.

Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.

Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'

Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?

Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.

Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.

Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?

Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.

Watu wanapoyoshasana kuhudiananaUidlam huko Ulaya.

Usilam kwa nchi za Ulaya ni negligible. Nchi pekee yenyewaislamwengi kwa Ulaya ni Ufaransa tu, ambako wanafikia24%. Katika mataifamengine yote yaUlaya yaliyosalia, hakuna nchi hata moja ambayo waislam wanafikia hata10%.

Watu wengi kwasababu ya kukosa elimu yahesabu, wanaishia kuelewa vibaya kuhusiana na ongezeko la waislam Ulaya. Waarabu wengi kutokana na mataifa yao kukosauhuru na ustaarabu, wakipata uwezo wanahamia Ulaya. Sasa kama nchi ilikuwa na waislam 100, wakaongezeka waarabu/waislam 50. Hilo ni ongezeko la 50% wakati hilo ongezeko ni dogo sana katika population ya wananchi waliopo. Kama kulikuwa na wakristo milioni 50, wakapungua 100, kimahesabu, itaonekana waislam wameongezeka kwa 50, wakati wakristo wamepungua, japo ongezeko hilo la waislam ni neglible ukilinganisha na idadi ya jumala ya wakristo. Katika nchi za Ulaya, hakuna nchi ambayo waislam wanafikia hata 50% ya wakristo, isipokuwa kwa baadhi ya mataifa yaliyokuwa sehemu ya USSR, na yalea yanayopakana na mataifa ya kiarabu, kama vile Arzebeijan, Marcedonia, Turkey, Montenegro.

Religion in Italy
  • Catholicism 74.50%
  • No religion 15.7%
  • Islam 3.87%
  • Eastern Orthodoxy and Oriental Orthodoxy 3%
  • Protestantism 1 %
  • OtherChristianity 0.89%
  • Other religion 1.7 %

Religion in Portugal (Census 2021)[1]
  1. Catholicism 80.2 (80.2%)
  2. Protestantism 2.13 (2.13%)
  3. Jehovah's Witnesses 0.72 (0.72%)
  4. Orthodoxy 0.69 (0.69%)
  5. Other Christian 1.04 (1.04%)
  6. Islam 0.42 (0.42%)
  7. Hinduism 0.22 (0.22%)
  8. Buddhism 0.19 (0.19%)
  9. Judaism 0.03 (0.03%)
  10. Other religion 0.28 (0.28%)
  11. No religion 14.09 (14.1%

Religion in Germany
Christianity (48.4%) ·
No religion (46.2%) ·
slam (4.6%) ·
Buddhism (0.2%) · Judaism (0.1%) ·
Hinduism (0.1%) ·

Religion in Spain
52.0% Catholics
2.4% other faiths (including Islam, Protestant Christianity, Buddhism, Hinduism etc.)
44.1% atheists

Religion in England
Christian 46.2%
Muslim 6.5%
Hindu 1.7%
Sikh 0.9%
Jewish 0.5%
Budhhist 0.5%

Religion in Switzerland
Christians 57%
Muslims 5.4%
Other religion 7.2%
No religion 29.4%

Religion in Belgium
49% Christianity
40% no religion
7% Islam
3%
other

Religion in China
Buddhists 18.2%
Christians 5.1%
Muslims 1.8%
Folk religions 21.9%
Atheists 52.2%
Hindus,Jews,less than 1%
 
Usioe au kuolewa ili ufanye kazi ya Mungu. Ukifanya kazi, mshahara unaingia kwenye shirika, ni utapeli wa hali ya juu. Waafrika tuzinduke!! Wayahudi wengi hawaamini kuwa Yesu ni mwokozi wao, sisi Waafrika tumeamini tu bila kuhoji. Dini ni "utapeli".
 
mbona hata waislam wanatumika katika abrakadabra kama hizi? Unawasifu waislam kutokuchezewa dini yao wakati hiyo dini ni uongo mtupu kuwahi kutokea duniani, a big scam, how they create islam
Muktadha wa mada siyo kuelezea maana ama chanzo cha dini, bali ni kuonesha dini kutumika na wanasiasa na wasanii kipumbaf pumbaf, saazingine bila wao kujua.
 
Back
Top Bottom