Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Unasema hivyo kwa sababu una ushahidi au kwa sababu watu wengine wanasema hivyo? Kama Ukristo ni dini ya uongo isingechukua miaka zaidi 2000. Ingekuwa imeshakufa. Hakuna dini ya uongo inayowafundisha wanadamu kumrudia Mwenyezi Mungu, kutenda haki, kupendana (upendo wa kweli), kuwaonea huruma wanaoteseka, kusameheana na kuwasaidia wenye shida. Hakuna dini ya uongo ya aina hiyo. Kuna madhehebu ya uongo yanaibuka na huyasemi hayo: yanafundisha watu ufuska etc. Labda kama ukisema aina hii ya madhehebu hapo naweza kukubali.
 
Kweli Mkuu , ukiristo umekaa kimkakati Sana.
Hata wasabato wametoka humo humo kwa wakatoliki, hivyo nao ni waabudu jua vile vile.
Kwasababu na wao wanaamini katika
Utatu mtakatifu na Msalaba
 
Hata wasabato wametoka humo humo kwa wakatoliki, hivyo nao ni waabudu jua vile vile.
Kwasababu na wao wanaamini katika
Utatu mtakatifu na Msalaba
Jibu swali kwanini waislamu tinaabudu Mwezi na Nyota ? Mboni unakimbiza swali
 
Umeandika vyema ila kama hufanyi haya unahaki mbele za Mungu

Huibi
Huzini
Husemi uongo
huahiriki katika mauaji, hutoi mimba,husaidi mtu tutoa mimba
Hutaman mali ya mtu
Huzulumu haki na jasho la mtu
Iman yako n madhubuti
unasaidia wahitaji

Kama huyaishi haya wewe ni mpagani na mtu wa mataifa
 
Thread amenzisha Mcqueenen lakini dhihaka zinaelekezwa kwa waislamu.

Ni nani mwenye uthibitisho wa kwamba huyu bwana ni muislamu.
Kwani haiwezekani kwa mkristo kuhoji ukristo wake au asiye mkristo wala muislamu kuanzisha thread inayozungumzia dini mbili hizo?

Anayeweza kujibu hoja zake na ajibu, asiyeweza na akae kimya, musiwaingize tabaka lisilohusika kwenye huu mjadala

 
Mfungo umeisha, tutawaona wengi sana humu na nyuzi za kuponda ukristo, tuwazoee tu mwezi wao wa kutenda matendo mema umesiha sasa wanarudi kwenye uhalisia wao
Una uhakika kuwa mtoa nada ni Muislamu mbona mpo insecure sana ?

Inamaana mtu anayechambua ukiristo kwa kuukosoa ni Muislamu tu mpagani hawezi au mkiristo mwenyewe ?

Kwa taarifa yako huyo mtoa nada anaongoza katika kuushambulia uislamu katika nyuzi zake na comments.
 
Vyovyote vile lakini kumbuka Dini tumeletewa nasi tukazipokea kichwa kichwa bila tafakuri ya kujiridhisha zaidi,na mbaya zaidi tukarithishana tusicho kijua,, hatimaye zinatusabishia na kuleta chuki,,,vifo,,,unafki,,,ubaguzi,,,roho mbaya na mengine ya hovyo zaidi kati yetu sisi tunaojifanya wafia dini(waafrika) kuliko kuleta umoja na upendo ambao tulikuwa nao hapo kabla!!
 
Kwa taarifa yako huyo mtoa nada anaongoza katika kuushambulia uislamu katika nyuzi zake na comments
Mkuu kwa heshima na taa zima, nakuomba kwa weledi na utashi na lugha ya staha naomba unifafanulie kwa uzuri tu, kwanini waislamu wanaabudu Nyota na Mwezi ? Tafadhari sana,
 
Ok na nyie mnaoabudu mwezi
Maana ya kuabudu kiufupi kama kuomba shida zake na kutumikia kitu fulani mfano ;

1.Nikosema ewe Yesu naomba nipate mtoto = Hapo nimemuabudu Yesu

2.Ewe Muhammad asante umetenda miujiza sasa hizi nimefaulu sikuweza ila kea nguvu zako = Hapo nimemuabudu Muhammad

3.Mwezi jaalia Mvua inyeshe = Hapo nimemuabudu mwezi

4.Ewe Mwenyezi Mungu muweza wa yote nisamehe dhambi zangu na nijaalie mali = Hapo nimemuabudu Mwenyezi Mungu.
 
Tumalizane huku kwanza kwanini Mwezi na Nyota ?View attachment 2595850
Hizo ni symbols tu..Hata kwenye ukristo kila kanisa/dhehebu lina symbol yake, utakuta wasabato wana ya kwao, wakatoliki, TAG, AIC, nk. Nk.
Lakini kuwa na hizo symbol haimaanishi wanaziabudu hizo symbols
Ba hata Quran wala Hadith hazitaji hiyo alama, na wala sio lazima kila msikiti kuwa nayo.

Unataka uniambie wapentecostal wanaabudu ndege kisa hii alama?

Na vipi hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…