Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

Nmeshaisoma hoja Yako na nimeandika ninachokifahamu wewe unasemaje kuhusiana na hilo??
Umeandika unachokifahamu kuhusu mada nyingine, stick kwenye mada tafadhali...Au hauna unalofahamu kuhusu mnavyoabudu jua?
 
Wewe hujaona ushahidi nilioweka hapo na tarehe nmekuwekea kabisa.
Mwanzilishi wa Ukristo Ni constantini aliyekuwa kuhani mkuu wa ibaada za jua
 
Mkuu kwa heshima na taa zima, nakuomba kwa weledi na utashi na lugha ya staha naomba unifafanulie kwa uzuri tu, kwanini waislamu wanaabudu Nyota na Mwezi ? Tafadhari sana,
Comment namba #63 nimejibu kama una swali lolote uliza , kwa kuongezea alama ya nyota na mwezi imeanza kutumika kama nembo ya uislamu katika zama hizi hakuna Maelezo yeyeto katika Qur'an ,Sunna wala wanazuoni waliopitisha.

Hata enzi ya Mtume Muhammad (upon him be peace and blessings of Allah) bendera za vita zilikuwepo lakini hakuwahi kuchora mwezi na nyota wala swahaba hata mmoja kufanya hivyo hili ni jambo lililojitokeza hivi karibuni na Muongozo wa Uislamu ni Qu'ran na Sunnah kama chochote hakijathibiti katika hivyo haitochukuliwa kama jambo la Uislamu moja kwa moja.

Na kuabudu maana yake kama kutumikia kwa kuomba shida zako ni kutegemea, sasa ni Muislamu yupi anaomba mwezi au nyota ? maombi yote ya Waislamu ni Ewe Allah (Mwenyezi Mungu) nijaalie kitu fulani na sio kinyume na hivyo.
 
Kuusubiri uonekane/uandame ili uache kushinda njaa siyo kuuabudu?
 
Mfungo umeisha, tutawaona wengi sana humu na nyuzi za kuponda ukristo, tuwazoee tu mwezi wao wa kutenda matendo mema umesiha sasa wanarudi kwenye uhalisia wao
Naona mtoa mada kuna mahala anapoint japo heading yake imekuwa sio kizalendo....
 
na wewe unayeabudu mwezi nani bora? mnamwabudu Mungu asiyefanya kazi, asiye na nguvu, anayetetewa na wanadamu. a hopeess god.
Mbona upo insecure ? jibu kwa hoja kama hauwezi pita mbali au achana nao mjadala huu ,kuliko kujaribu kushambulia mtu kwa dhana bila ushahidi .

Huyu sio vile unavyomdhania focus kwenye mada .
 
Kuusubiri uonekane/uandame ili uache kushinda njaa siyo kuuabudu?
Poor reasoning ,kusubiri saa au kutenga alarm saa ngapi niamke hapo ni kuabudu nako .Hivi unajua zamani waliokuwa wanatumia nini kujua majira na kuongoza safari za majini ? mwezi na kama nyezo ya kujua muda kama umefika ndio maana hata usipoonekana tunatimiza thelathini kukamilisha hesabu.
 
Nashangaa uongozi kuacha kufuta nyuz za namna hii na kuwafungia hawa watu kabsa[emoji849][emoji849]
 
Huyu ndugu yenu kaamua kuwa mpagani ,tafadhali jikite kwenye mada aliyoyasema yanaweza kuwa kweli ukisoma historia mabishop na watawala wa Roma walivyokutana Nicaea kupanga mambo mbalimbali na ajenda nyingi ziliamukiwa hapo .
 
Umeandika conspiracy theories kwa kujiamini kabisa yani. Wakristu walikuwa wanaabudu siku ya jumapili kabla ata ya huyo Constantine. Costantine hakiwahi kuwa sehemu ya maamuzi ya kanisa ata kidogo. Huu upotoshaji ni ujinga. Wakatoliki kimsingi ambao ndio wakristo wa mwanzo hawaabudu sanamu.

Ogopa sana ujinga. Mungu hakukataza sanamu, ndio maana alimuamuru ata Musa akatengeneze sanamu ya nyoka, suleiman pia. Issue ni kuipa sanamu uhai. Kitu ambacho hakuna mkatoliki anafanya. Kama hujui utulie.

Alafu unadiriki kusema eti kuna amri wakatoliki wamefuta, ya pili eti, wewe ni juha mkuu. Amri zinafundishwa zote na kufafanuliwa ipasavyo. Nyie wa nje ndio kazi kubwabwaja tu.
 
Unazo hoja. Hoja hujibiwa kwa hoja. Subiri wafia dini waje kupangua hoja.

Swali kwako. Owner wa bibilia ni nani? Nani alikuwa na mamlaka ya kuweka na kutoa baadhi ya vitabu kama tunavyosikia kuwa kuna baadhi ya vitabu vimeondolewa kwenye bibilia? Ref. Injili ya Enoch na Barnaba.
 
Alafu wenyewe wanaenda mecca kupiga vimawe sanamu za waquraysh wanasema ni shetani. Vituko.
 
Ndio yule yule ni sawa iseme Mudi na Mohammed hawana utofauti wowote, wewe mtume unaemjua ni Mudi au Mohammed ?
Jibu mada ni upungufu wa akili mtu kujadili nje ya mada tena kwa kumdhania mtu ,mijadala kama umekosa cha kujibu au ukiona wa kipuuzi wenye akili huwa wana ignore maana kwenda nje ya mada siku zote hawafanyi isipokuwa wasiojielewa.

Mleta mada hausiani na uislamu na yeye ni kinara wa kushambulia Uislamu hivyo si vyema kumuhusisha na uislamu huyo ni mtu wenu aliyeamua kuwa mpagani.
 
Mimi navyofahamu Uislamu ni wanaabudu shetani moja kwa moja hakuna kupindisha maneno.

Ndio maana hata huko kila mtu na jini lake la kumlinda.
Kwenda nje ya mada ni dalili ya upungufu wa akili hawafanyi isipokuwa wasiojielewa, mleta nada ni mwenzenu aliyeamua kuwa mpagani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…