Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Wewe utakuwa mfuasi wa firii chachi feloship la Katibu mla kondoo wa faza masanjaMimi sioni tatizo wanawake kuvaa vimini kwenye nyumba za ibada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa mfuasi wa firii chachi feloship la Katibu mla kondoo wa faza masanjaMimi sioni tatizo wanawake kuvaa vimini kwenye nyumba za ibada
Ndio Nini wewe kijana .??? Yaani unauona uovu halafu unautambua lkn hukemei ...Nini faida ya Papa kuwa kiongozi wa kiroho.....papa anazungumza wazi kwamba anatambua wapenzi wa jinsia moja.
yaani anajua tatizo lipo,ila kuliunga mkono ni swala jingine ndugu.
kama unakumbuka aliishatoa tamko hili pia kwa makasisi ilipovuma kuna vitendo vya kishetani ndani ya kanisa.
Ndugu yangu si sawa kulinganisha Ukristo na Uislamu. Hizi ni Dini mbili zenye maelekezo tofauti. Kwenye Uislamu ni dini inaingilia moja kwa moja na mamlaka. Ndio maana kuna serikali zinajiita za Kiislamu lakini hakuna Taifa Duniani linalotambuliwa rasmi kuwa ni la Kikristo.( Forget about Vatican that is another story).
Vile vile Uislamu unaagiza "direct"kutumia nguvu kutekeleza sharia na maagizo ya Mungu. Ndio maana kuna sheria za kukata watu mikono,kupiga watu mawe hadi kufa n.k
Ukristo haupo hivo. Mtu anahubiriwa akiamua kupokea kweli ni heri yake na akiamua kuikataa ni maamuzi yake ila siku ya mwisho ndo atajua madhara ya kuikataa kweli. Kwenye Ukristo ukimlazimisha mtu kutii sheria za Mungu ni kosa. Mtu hapaswi kwa namna yoyote kumtii Mungu kwa shuruti. Kingine unatakiwa kujua haya maisha ya kisasa yanawaathiri watu ila sio Neno la Mungu. Hata dunia iwe ovu namna gani Neno la Mungu(Kristo) litasimama milele.
Haya mambo ya ouvu kuongezeka,Neno la Mungu kupoa mioyoni mwa watu ni sehemu ya unabii ulio katika Biblia. Kwa hiyo usishangae tena ilitakiwa uandike kukili kuwa unabii unatimia.
embu leta ushahidi papa akiuunga mkono ushoga maana naona unayumba.Ndio Nini wewe kijana .??? Yaani unauona uovu halafu unautambua lkn hukemei ...Nini faida ya Papa kuwa kiongozi wa kiroho.....
Mbona juzi ametamka wazi kumkemea Putin,, kwann haoni ubaya wa ushoga....
Wanaitwa farizayo, yaani nje kwenye kadamnasi, ni Sheria tu, waone kwenye faragha zao, utasema ni watu tofauti.Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo haziwasitiri na ni kinyume na mandiko, nguo immchora hips, makalio na mapaja, Mungu aliyesema wanawake wawe na stara kimavazi anaonekana si kitu.
Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.
Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri
Hawafungi Ramadhan?Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo haziwasitiri na ni kinyume na mandiko, nguo immchora hips, makalio na mapaja, Mungu aliyesema wanawake wawe na stara kimavazi anaonekana si kitu.
Anyway, Qata wamenifurahisha sana kwenye kusimamia sheria zao hizi, ukivunja jela inaweza kukuhusu ama kurudi kwenu.
Ni marufuku kujihusisha na matumizi ya pombe
Ni marufuku kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja
Haitakiwi kutokuwa na haya (Immodesty)
Ni marufuku matumizi ya lugha chafu
Ni marufuku kuzini na mtu ambae hamjaoana
Ni marufuku kuvaa mavazi yasiyositiri
Kuinuka kwa Papa ni sehemu ya unabii ulioko kwenye Biblia. So uyaonapo hayo hutakiwi kushangaa bali ushituke na kuzidi kuomba.Shida inakuja ukristo umemezwa na utandawazi, leo hii papa alietakiwa kukemea vitendo vya ushoga anatoa ushirikiano wenye kuleta matumaini kwa mapenzi ya jinsia moja hii vipi.
Huu kama sio upuuzi ni nini ?
Tumeshawaambia Nyie mkiwa kwny hayo masinagogi Yenu ya kukusanyia Sadaka mnakuwa wema physically lkn mkitoka hapo tu huwa mnakuwa na image tofauti na ile ya kanisani... mkristo na Bibilia anayodai kuamini Ni vitu viwili tofauti kabisaKuinuka kwa Papa ni sehemu ya unabii ulioko kwenye Biblia. So uyaonapo hayo hutakiwi kushangaa bali ushituke na kuzidi kuomba.
Papa alisema kwamba tusiwanyanyase ndugu zetu kwasababu ya madhahifu waliozaliwa nayo. Tusiwatenge mashoga bali tuwapende kama ndugu zetu, ila kwenye statement hiohio akasema kua mungu hapendezwi na ndoa za jinsia moja.embu leta ushahidi papa akiuunga mkono ushoga maana naona unayumba.
mkuu kuwachinja au kuwanyima chakula sio njia ya kumaliza tatizo,wale bado ni binaadam wana haki kama zao nyingine za msingi,ndio hoja ya pope.Papa alisema kwamba tusiwanyanyase ndugu zetu kwasababu ya madhahifu waliozaliwa nayo. Tusiwatenge mashoga bali tuwapende kama ndugu zetu,
ndio maana yake,Mungu hapendi uzinzi lakini mara tu baada ya yesu kupelekekew amwanamke mzinzi mbele hake alisemaje???ila kwenye statement hiohio akasema kua mungu hapendezwi na ndoa za jinsia moja.
Ikumbukwe,
kweli.biblia inasema kua kila mtu auchukue msalaba wake na amfate kristo.
kabisa.Mashoga huo ni msalaba wao. Kua shoga sio dhambi kufanya ushoga (kuoa mtu wa jinsia yako na kufirana) ndio dhambi,
yess.biblia inaweka wazi hili[emoji2377]... ushoga ni hali mtu anazaliwa nayo sio maamuz ya mtu. Pia inawezakua changamoto mtoto anazopitia katk ukuaji ikiwemo ukatili, kulingana na tafiti za kisayansi. So unaona hapa mtu (shoga) mwenyewe hayuko at fault?
Waislamu wao wamekua mad kuona kwamba papa haungi mkono ukatili wa dini yao[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua tu muislamu. Hakuna mkristo atakaye kuja kukuhukumu na kutaka kukuchinja...Ukristo umepotea sana nafikiria kuwa Muislamu
Wewe huamini biblia wala kanisani huendi, mtu akivaa kimini kanisani kwanini unakereka? Huoni kama una matatizo?Ndio Bibilia inavyokuamrisha au wewe Ni mfuasi wa kwaya TU na send off??