Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

papa anazungumza wazi kwamba anatambua wapenzi wa jinsia moja.

yaani anajua tatizo lipo,ila kuliunga mkono ni swala jingine ndugu.
kama unakumbuka aliishatoa tamko hili pia kwa makasisi ilipovuma kuna vitendo vya kishetani ndani ya kanisa.
Ndio Nini wewe kijana .??? Yaani unauona uovu halafu unautambua lkn hukemei ...Nini faida ya Papa kuwa kiongozi wa kiroho.....

Mbona juzi ametamka wazi kumkemea Putin,, kwann haoni ubaya wa ushoga....
 
 

Attachments

  • FB_IMG_16660718224893758 (1).jpg
    51.8 KB · Views: 3
  • 2022-08-02T000000Z_801534435_MT1ABCPR819607005_RTRMADP_3_ABACA-PRESS.jpg
    44.7 KB · Views: 3
  • FB_IMG_16660717460759840.jpg
    65.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16660718224893758.jpg
    51.8 KB · Views: 4
Ndio Nini wewe kijana .??? Yaani unauona uovu halafu unautambua lkn hukemei ...Nini faida ya Papa kuwa kiongozi wa kiroho.....

Mbona juzi ametamka wazi kumkemea Putin,, kwann haoni ubaya wa ushoga....
embu leta ushahidi papa akiuunga mkono ushoga maana naona unayumba.
 
Wanaitwa farizayo, yaani nje kwenye kadamnasi, ni Sheria tu, waone kwenye faragha zao, utasema ni watu tofauti.
 
Hawafungi Ramadhan?
 
Shida inakuja ukristo umemezwa na utandawazi, leo hii papa alietakiwa kukemea vitendo vya ushoga anatoa ushirikiano wenye kuleta matumaini kwa mapenzi ya jinsia moja hii vipi.

Huu kama sio upuuzi ni nini ?
Kuinuka kwa Papa ni sehemu ya unabii ulioko kwenye Biblia. So uyaonapo hayo hutakiwi kushangaa bali ushituke na kuzidi kuomba.
 
Kuinuka kwa Papa ni sehemu ya unabii ulioko kwenye Biblia. So uyaonapo hayo hutakiwi kushangaa bali ushituke na kuzidi kuomba.
Tumeshawaambia Nyie mkiwa kwny hayo masinagogi Yenu ya kukusanyia Sadaka mnakuwa wema physically lkn mkitoka hapo tu huwa mnakuwa na image tofauti na ile ya kanisani... mkristo na Bibilia anayodai kuamini Ni vitu viwili tofauti kabisa
 
embu leta ushahidi papa akiuunga mkono ushoga maana naona unayumba.
Papa alisema kwamba tusiwanyanyase ndugu zetu kwasababu ya madhahifu waliozaliwa nayo. Tusiwatenge mashoga bali tuwapende kama ndugu zetu, ila kwenye statement hiohio akasema kua mungu hapendezwi na ndoa za jinsia moja.
Ikumbukwe, biblia inasema kua kila mtu auchukue msalaba wake na amfate kristo. Mashoga huo ni msalaba wao. Kua shoga sio dhambi kufanya ushoga (kuoa mtu wa jinsia yako na kufirana) ndio dhambi, biblia inaweka wazi hili[emoji2377]... ushoga ni hali mtu anazaliwa nayo sio maamuz ya mtu. Pia inawezakua changamoto mtoto anazopitia katk ukuaji ikiwemo ukatili, kulingana na tafiti za kisayansi. So unaona hapa mtu (shoga) mwenyewe hayuko at fault?
Waislamu wao wamekua mad kuona kwamba papa haungi mkono ukatili wa dini yao[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa alisema kwamba tusiwanyanyase ndugu zetu kwasababu ya madhahifu waliozaliwa nayo. Tusiwatenge mashoga bali tuwapende kama ndugu zetu,
mkuu kuwachinja au kuwanyima chakula sio njia ya kumaliza tatizo,wale bado ni binaadam wana haki kama zao nyingine za msingi,ndio hoja ya pope.
ila kwenye statement hiohio akasema kua mungu hapendezwi na ndoa za jinsia moja.
Ikumbukwe,
ndio maana yake,Mungu hapendi uzinzi lakini mara tu baada ya yesu kupelekekew amwanamke mzinzi mbele hake alisemaje???
biblia inasema kua kila mtu auchukue msalaba wake na amfate kristo.
kweli.
Mashoga huo ni msalaba wao. Kua shoga sio dhambi kufanya ushoga (kuoa mtu wa jinsia yako na kufirana) ndio dhambi,
kabisa.
yess.
 
Ndio Bibilia inavyokuamrisha au wewe Ni mfuasi wa kwaya TU na send off??
Wewe huamini biblia wala kanisani huendi, mtu akivaa kimini kanisani kwanini unakereka? Huoni kama una matatizo?

Mimi bwana mtu mzima na akili zake afanye lolote hapa duniani wala siumizi kichwa changu. Kila mtu aamini kile anachotaka.

Huko mbinguni/peponi kila mtu kivyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…