Naona ni wakati sasa wakristo tuamke na kuomba dini yetu itunge sheria yake ya mirathi. Tuache kutegemea sheria ya kiserikali kuamua mirathi ya kila mkristo.
Tazama matajiri wa kiislam wakifariki mifarakano hakuna.
Sababu ni Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za kiislamu katika kugawa mali.. Sasa shida ni kwamba hakuna sheria za mirathi za wakristo.. wakristo tunatumia sheria za mirathi za kiserikali ambazo zinakaribisha magomvi mengi..
Kafa baba wa gsm kimyaa.. kafa sumry kimyaa.. kafa patel kimyaa.. kafa zakaria kimyaaa.. kafa ali mafuruki kimyaaa husikii familia zikigombea mali.
Ila sisi wakristo kafa mengii mgogoro, kafa lwakatare mgogoro, kafa bilionea msuya mgogoro mpaka wanachinjaaana mtu na wifi yake... yaani balaa tupu