min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Je unafahamu kuwa binti mkubwa 18yrs alianza kutambulika karne ya 20 tu hapa?Biblia haijasema binti mdogo imesema binti yake,ila pia kwakua hiyo sentensi ni pana usiweke fake conclusion mfano unaweza ukawa na watoto wakike watatu let's say miaka 19,23,25 hapa binti mdogo wa caleb ni yupi?
Je unafahamu nyuma ya hapo ,binti alianza kutambulika kwa nzia miaka 12 kuwa anafaa kuolewa?
Biblia imetaja sehemu nyingi tu kuwa binti wadogo mabikra waliolewa ila haikutaja umri wao , sio kazi yangu kukuhubiria lakini🤔