Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mimi...huko ulipotoka kuna nani?Hellooo
Endelea mdogo mdogo utafikaHellooo
Mimi ndiye mpokea wageni hapa..sawa?mengi tu ya kusifiwa, kukashifiwa na kadhalika..[emoji41]
Yaan JF inapoelekea cko kabisa, mtu akivurugwa na mumewe anakimbilia hapa kupunguza stress. Huyu naye kavimbiwa na makande kaja kupumulia hapa. CheefuuHuku kuna Joash254
Mbona unaongea kama umekalia kitu chenye ncha kali wee dada?Yaan JF inapoelekea cko kabisa, mtu akivurugwa na mumewe anakimbilia hapa kupunguza stress. Huyu naye kavimbiwa na makande kaja kupumulia hapa. Cheefuu
[emoji23][emoji23][emoji23] kavurugwa na nn...Ungesema Nyege, pale Nyegezi..[emoji12]
Mbona unaongea kama umekalia kitu chenye ncha kali wee dada?
Nitakufumua magauni muda si mrefu!
Ha ha ha mi shem wako ww
Sina mashemeji wa namna yako! Yaani nikuolee dadaako alafu uje kuniambia nimevimbiwa makande?
Sijaelewa shida yako bado. Au unamaanisha nimsaliti dadaako?Ila shem juz umezingua ujue
Sijaelewa shida yako bado. Au unamaanisha nimsaliti dadaako?
We sista endelea nae ila huyu beki 3 niachie bc na mm. Unakaba mpaka penat?