L lady mwafrika Member Joined Jun 27, 2014 Posts 31 Reaction score 8 Jul 20, 2014 #1 Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana?
Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana?
T Tour De France JF-Expert Member Joined Jun 12, 2014 Posts 345 Reaction score 335 Jul 20, 2014 #2 lady mwafrika said: Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana? Click to expand... Miezi 5 wanasema ukiwahi kukalishwa anaweza kupungukiwa nguv za kiume ktk ukuaji wake usimlazimishe kumkalisha na kulazimisha mgongo kukunjika sio nzuri kwa afya yake. Angekua wa kike sawa
lady mwafrika said: Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana? Click to expand... Miezi 5 wanasema ukiwahi kukalishwa anaweza kupungukiwa nguv za kiume ktk ukuaji wake usimlazimishe kumkalisha na kulazimisha mgongo kukunjika sio nzuri kwa afya yake. Angekua wa kike sawa