Ukuaji wa mtoto wa kiume

Ukuaji wa mtoto wa kiume

lady mwafrika

Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
31
Reaction score
8
Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana?
 
Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana?

Miezi 5 wanasema ukiwahi kukalishwa anaweza kupungukiwa nguv za kiume ktk ukuaji wake usimlazimishe kumkalisha na kulazimisha mgongo kukunjika sio nzuri kwa afya yake. Angekua wa kike sawa
 
Back
Top Bottom