Elijah bundala
Member
- Aug 11, 2014
- 12
- 2
Ukuaji wa ubongo wa mtoto huanzia tangu mama akiwa mjamzito. Matukio yanayotokea nje yanaweza kuleta athari chanya au hasi.
Matukio hayo ni kama migogoro ya baba na mama mjamzito, kutumia pombe au dawa za kulevya kama marijuana, heroin na sigara, kutofanya mazoezi na kula kwa usahihi na kwa wakati, kufanya kazi sehemu ya kazi bila muda wa kupumzika na kutokaa na familia au rafiki zako na kufurahi pia wazazi wote kutokua na furaha au amani haya matukio uathiri kwa kiasi kikubwa ukuaji na maendeleo ya ubogo na akili ya mtoto.
Kwa hiyo ni vizuri na muhimu mama mjamzito kuepuja matukio hayo na mzazi wa kiume ni wakati muhimu na mzuri kukaa na mpenzi wake na wanapaswa kuanza kuongea kwa utulivu na mtoto aliye tumboni ili kujenga ukaribu.