Uwanja wa Simba unachukua mashabiki wangapi?Mbona Unaijumuisha na Simba...!
Simba tayari Wanao Uwanja Boko na Wanautumia Kwa Mazoezi. Kilichobakia ni Kuuboresha tu ili Mechi za Ushindani Zipigwe hapo..!
Wee kama sio Utopolo Komaa na Yanga mpaka Wakujibu Wana Ukongwe Gani Wakati kiwanja hawana .?
Mbona hilo jambo la kawaida kwenye medani ya mpira wa miguu kuna timu nyingi maarufu duniani tena zenye mashabiki na mafanikio makubwa kuliko hizo timu mbili za kariakoo hazina uwanja binafsi kuzitaja kwa uchache ni chelsea, man city, inter milan na ac milanSijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au umasikini wa watanzania unatafsiriwa kwenye hizi timu pia?
Huwa nasikia watu wanaziita timu kubwa au kongwe lakini siwelewi wanamaanisha nini, au huo ukubwa/ ukongwe wanaomaanisha ni wingi wa mashabiki na watu maarufu walio wanachama wa hizi timu wanaopigana vijembe?
It doesn't make any sense.