Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni matokeo ya uzalendo usio na shaka, ustahimilivu, uvumilivu, kujitolea bila kujibakiza, mipango na mikakati imara kisera, msimamo thabiti usiyoyumba, kutokukata tamaa kusiko koma, kukosea na kujisahihisha, umahiri na uthubutu usiotetereka wa Statesman FREEMAN AIKAELI MBOWE, mwamba wa siasa za Tanzania.
Akukaribishe kwa mikono miwili, halafu from no where uje umuyumbishe kwa hila na tamaa zako? Thubutu..
Kiongozi huyu wa Kitaifa apewe Maua Yake tafadhali...
Akukaribishe kwa mikono miwili, halafu from no where uje umuyumbishe kwa hila na tamaa zako? Thubutu..
Kiongozi huyu wa Kitaifa apewe Maua Yake tafadhali...