Mungu ibariki CHADEMA[emoji173]ni matokeo ya uzalendo usio na shaka, ustahimilivu, uvumilivu, kujitolea bila kujibakiza, mipango na mikakati imara kisera, msimamo thabiti usiyoyumba, kutokukata tamaa kusiko koma, kukosea na kujisahihisha, umahiri na uthubutu usiotetereka wa Statesman FREEMAN AIKAELI MBOWE, mwamba wa siasa za Tanzania.
akukaribishe kwa mikono miwili, halafu from no where uje umuyumbishe kwa hila na tamaa zako? Thubutu...
Kiongozi huyu wa Kitaifa apewe Maua Yake tafadhali.....
Ubongo wako una umeme kidogo.Hii ni nchi utakufa utaiacha sasa hicho kiama utakionea wapi?.Au unatapa tapa ndugu chawa?Pamoja na yote Ikulu Mutapasikia hadi Nkiyama, mumeshindwa kujiletea maendeleo nyny wenywe muweze kuleta ya nchi?
Acha kujisahauPamoja na yote Ikulu Mutapasikia hadi Nkiyama, mumeshindwa kujiletea maendeleo nyny wenywe muweze kuleta ya nchi?
Kwani nani anaikubali chadema hasa mwenye akili timamu zaidi ya wapiga makelele tu. Umeshaona Kuna proffesor hata mmoja amejiunga na chadema mbali na marehemu BareguNi matokeo ya uzalendo usio na shaka, ustahimilivu, uvumilivu, kujitolea bila kujibakiza, mipango na mikakati imara kisera, msimamo thabiti usiyoyumba, kutokukata tamaa kusiko koma, kukosea na kujisahihisha, umahiri na uthubutu usiotetereka wa Statesman FREEMAN AIKAELI MBOWE, mwamba wa siasa za Tanzania.
Akukaribishe kwa mikono miwili, halafu from no where uje umuyumbishe kwa hila na tamaa zako? Thubutu..
Kiongozi huyu wa Kitaifa apewe Maua Yake tafadhali...
Amen