Simba ni timu kubwa, Al Ahly, Al Hilal, Wydad na Mamelody wanajua muziki wa Simba, siyo mchezo.Na waliokuwepo wakafa kiume
Ongeza sautiSimba ni timu kubwa, Al Ahly, Al Hilal, Wydad na Mamelody wanajua muziki wa Simba, siyo mchezo.
Hiyo rekodi Utopolo hawawezi kuivunja. Al Ahly wanakuja bongo kucheza na utopolo tuone nao.
Utopolo ni Azam iliyochangamka
TP mazembe ameenda kucheza AFL halafu utopolo hakucheza. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wenzako wapo CUF Champion League wanacheza mpira wewe upo league walioshindwa halafu unapewa medali unashangilia unajiona aliyecheza Champion League km anapoteza muda wakati hiyo kwako ni ishara mbaya. Timu bora inachezaje looser's cup halafu bado mnafurahi?Sasa hivi mnaionea wivu Simba. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sehemu ambapo Simba yupo, Utopolo hagusi.
Mfano hai
1. Kipindi Simba anacheza loosers' Cup mpk robo, Utopolo alicheza mechi 2 tu akatolewa
2. Kipindi Simba anacheza Champion League mpk robo fainali, utopolo alikuwa anacheza loosers' Cup mpk akapewa medali ya tuzo kuwa yeye Looser mkubwa sana hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Ukitaka kuona Al Ahly, Mamelod, Al hilal au Wydad wakicheza loosers' Cup, kuna watu watafukuzwa kazi kwenye timu.
3. Sasa hivi Simba amecheza AFL, Utopolo yupo nyumbani anapambana na ihefu.
Yanga ni Azam iliyochangamka
Kwa hiyo ana maumivu makaliHebu chomoa kwanza ule mwiko wa ihefu utauona ubora wa simba
IhefuOngeza sauti
Wala usingejisumbua kuwafafanulia ni jambo ambalo kwa wenye akili timamu tunalijua, lakini vilaza wa mtaa wa pili uwa wanajifurahisha wakikutana kwenye vijiwe vya kahawa wanapeana moyo uko weee but ukiwaambia tupeni vigezo vinavyowafanya nyie mjiite wakubwa wanabaki wamekodoa macho tu🥺🥺Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.
"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu KUBWA (8) Africa," nk ....
Nini maana ya timu kubwa ?!
◉ Makombe / Mataji.
◉ Uwezo mzuri wa kiuchumi.
◉ Fan base.
Hivyo vitatu hapo juu ndivyo vigezo vinavyoipa timu UKUBWA kwa kuzingatia eneo ambalo timu ipo na historia.
Target ya mchezo wowote Duniani ni Makombe / Mataji. Hiki ndicho kigezo KIKUU kinachoipa klabu UKUBWA. Klabu inaweza isiwe na hivyo vingine (Uchumi & Fan base) lakini kama inashinda Makombe mengi kigezo hicho kinatosha kuipa klabu UKUBWA and vice versa is true.
Uwezo mzuri wa kiuchumi na Ukubwa wa Fan-base ni cement inayojenga UKUBWA wa klabu unaposhinda kombe.
Kwa maana hiyo, Simba na Yanga ni klabu KUBWA Tanzania na East Africa kwa sababu zimeshinda makombe mengi lakini sio klabu KUBWA Africa. Wote (2) wako kwenye process ya UKUAJI, hakuna klabu KUBWA Africa Nchini Tanzania kwa sasa.
𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 :
Ubora mara nyingi hupimwa kwa currently form, Ranks nk .. kwa wakati huo. Timu inaweza kuwa bora ndani ya muda fulani lakini isiwe kubwa katika eneo husika.
Mfano : Simba na Petro Atletico ni timu zilizofanya vizuri kwenye michuano ya (CAF) currently kwa kuingia mara kadhaa robo fainali lakini sio timu KUBWA kwa kuwa hawana kombe lolote la Africa.
Belgium iliwahi kukaa miaka (3) mfululizo katika nafasi ya (1) Duniani kwenye Ranks za (FIFA) lakini huwezi kusema Belgium ilikuwa timu KUBWA kulio Brazil [emoji1054]
Timu zilizotwaa ubingwa wa Africa :
𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗹𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲 :
[emoji471] 11 — Al Ahly Cairo [emoji1093]
[emoji471] 5 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 5 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 4 — Esperance [emoji1249]
[emoji471] 3 — Wydad Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Raja Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Canon Uaounde [emoji1062]
[emoji471] 3 — Hafia [emoji1119]
[emoji471] 2 — ES Setif [emoji1249]
[emoji471] 2 — Enyimba [emoji1184]
[emoji471] 2 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — Asante Kotoko [emoji1110]
[emoji471] 1 — Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji471] 1 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 1 — Hearts of OAK [emoji1110]
[emoji471] 1 — ASEC Mimosas [emoji1081]
[emoji471] 1 — Orlando Pirates [emoji1221]
[emoji471] 1 — Club Africain [emoji1249]
[emoji471] 1 — FAR Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Mouloudia [emoji1026]
[emoji471] 1 — CARA Brazzaville [emoji1077]
[emoji471] 1 — AS Vita cub [emoji1078]
[emoji471] 1 — Ismailly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Stade d'Abidjan [emoji1081]
𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗱𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗰𝘂𝗽 :
[emoji471] 4 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 4 — CS Sfaxien [emoji1249]

[emoji471] 3 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — RS Berkane [emoji1173]
[emoji471] 2 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 1 — USM Alger [emoji1026]
[emoji471] 1 — Al Ahly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 1 — AC Leopard [emoji1077]
[emoji471] 1 — Mas Fes [emoji1173]
[emoji471] 1 — FUS Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Stade Malien [emoji1159]
[emoji471] 1 — Esperance [emoji1249]

[emoji471] 1 — Stella club d'Abidjan [emoji1081]
[emoji471] 1 — KAC Marrakech.
𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿 :
Simba SC alichaguliwa kwenye (AFL) kwa sababu ya Connections alizozitengeneza (CEO) Barbara Gonzalez huko (CAF) + currently form na sio kwa sababu ya UKUBWA kama inavyohubiriwa.
Ingekuwa UKUBWA au Ranks basi Zamalek [emoji1093], Raja Athletic [emoji1173], Etoile du Sahel [emoji1249], JS Kabylie [emoji1026] wenye makombe wangeshiriki.. Au Raja wa (5), Zamalek (6) RS Berkane (7), CR Belouizdad (8) wangejumuishwa kwa kuwa wana Rank nzuri zaidi kuliko Simba (9), TP Mazembe (13) na Enyimba (33).
In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.
Ili uwe timu kubwa, shinda kombe, kinyume chake ni kelele tu.
Dawa chungu ndio inatibu [emoji381]
Timu imeshia ilipoanzia Mwakarobo Nyosso kweli kweliUMEANDIKA MASHUDU TUPU[emoji23][emoji23][emoji23]
Soma hapo chini najua lugha ndio changamoto ila omba jirani akutafsirie nini maana ya THE MOST SUCCESSFUL CLUBS IN AFRICA...
The Confédération Africaine de Football (“CAF”) announced the Prize Money for the Inaugural African Football League (“AFL”) competition which will feature the highest-ranked and most successful football Clubs on the African Continent.
The AFL will kick off on Friday 20 October 2023 in Dar es Salaam, Tanzania and will feature Simba SC (Tanzania) and Al Ahly SC (Egypt).
The Prize Money for the AFL is as follows:
$4 000 000 for the Winner
$3 000 000 for the Runner-up
$1 700 000 for each of the Semi-finalists
$1 000 000 for each of the Quarter-finalists
The Prize Money is appealing and competitive as the Winning Club will only play 6 matches to win the substantial Prize Money of $ 4 000 000.
MATOPOLO MTAKUFA KWA KIHORO KOMAENI KUFIA HIZO STANDARDS WENZENU WAMETUMIA NGUVU KUBWA KUFIKIA WALIPO,SIO JAMBO LA KULALA NA KUAMKA,
MFUNGE IHEFU KWANZA
Utopolo wazee wa preliminary walianzia wapi na kuishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu imeshia ilipoanzia Mwakarobo Nyosso kweli kweli
Ukicopy kitu kwa hao vilaza wa insta,uwe unawatag kuwapa shavu....copy and paste hii TAKATAKA[emoji86]Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.
"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu KUBWA (8) Africa," nk ....
Nini maana ya timu kubwa ?!
◉ Makombe / Mataji.
◉ Uwezo mzuri wa kiuchumi.
◉ Fan base.
Hivyo vitatu hapo juu ndivyo vigezo vinavyoipa timu UKUBWA kwa kuzingatia eneo ambalo timu ipo na historia.
Target ya mchezo wowote Duniani ni Makombe / Mataji. Hiki ndicho kigezo KIKUU kinachoipa klabu UKUBWA. Klabu inaweza isiwe na hivyo vingine (Uchumi & Fan base) lakini kama inashinda Makombe mengi kigezo hicho kinatosha kuipa klabu UKUBWA and vice versa is true.
Uwezo mzuri wa kiuchumi na Ukubwa wa Fan-base ni cement inayojenga UKUBWA wa klabu unaposhinda kombe.
Kwa maana hiyo, Simba na Yanga ni klabu KUBWA Tanzania na East Africa kwa sababu zimeshinda makombe mengi lakini sio klabu KUBWA Africa. Wote (2) wako kwenye process ya UKUAJI, hakuna klabu KUBWA Africa Nchini Tanzania kwa sasa.
𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 :
Ubora mara nyingi hupimwa kwa currently form, Ranks nk .. kwa wakati huo. Timu inaweza kuwa bora ndani ya muda fulani lakini isiwe kubwa katika eneo husika.
Mfano : Simba na Petro Atletico ni timu zilizofanya vizuri kwenye michuano ya (CAF) currently kwa kuingia mara kadhaa robo fainali lakini sio timu KUBWA kwa kuwa hawana kombe lolote la Africa.
Belgium iliwahi kukaa miaka (3) mfululizo katika nafasi ya (1) Duniani kwenye Ranks za (FIFA) lakini huwezi kusema Belgium ilikuwa timu KUBWA kulio Brazil [emoji1054]
Timu zilizotwaa ubingwa wa Africa :
𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗹𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲 :
[emoji471] 11 — Al Ahly Cairo [emoji1093]
[emoji471] 5 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 5 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 4 — Esperance [emoji1249]
[emoji471] 3 — Wydad Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Raja Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Canon Uaounde [emoji1062]
[emoji471] 3 — Hafia [emoji1119]
[emoji471] 2 — ES Setif [emoji1249]
[emoji471] 2 — Enyimba [emoji1184]
[emoji471] 2 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — Asante Kotoko [emoji1110]
[emoji471] 1 — Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji471] 1 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 1 — Hearts of OAK [emoji1110]
[emoji471] 1 — ASEC Mimosas [emoji1081]
[emoji471] 1 — Orlando Pirates [emoji1221]
[emoji471] 1 — Club Africain [emoji1249]
[emoji471] 1 — FAR Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Mouloudia [emoji1026]
[emoji471] 1 — CARA Brazzaville [emoji1077]
[emoji471] 1 — AS Vita cub [emoji1078]
[emoji471] 1 — Ismailly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Stade d'Abidjan [emoji1081]
𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗱𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗰𝘂𝗽 :
[emoji471] 4 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 4 — CS Sfaxien [emoji1249]
[emoji471] 3 — Raja Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — RS Berkane [emoji1173]
[emoji471] 2 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 1 — USM Alger [emoji1026]
[emoji471] 1 — Al Ahly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 1 — AC Leopard [emoji1077]
[emoji471] 1 — Mas Fes [emoji1173]
[emoji471] 1 — FUS Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Stade Malien [emoji1159]
[emoji471] 1 — Esperance [emoji1249]
[emoji471] 1 — FAR Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Hearts of OAK [emoji1110]
[emoji471] 1 — Stella club d'Abidjan [emoji1081]
[emoji471] 1 — KAC Marrakech.
𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿 :
Simba SC alichaguliwa kwenye (AFL) kwa sababu ya Connections alizozitengeneza (CEO) Barbara Gonzalez huko (CAF) + currently form na sio kwa sababu ya UKUBWA kama inavyohubiriwa.
Ingekuwa UKUBWA au Ranks basi Zamalek [emoji1093], Raja Athletic [emoji1173], Etoile du Sahel [emoji1249], JS Kabylie [emoji1026] wenye makombe wangeshiriki.. Au Raja wa (5), Zamalek (6) RS Berkane (7), CR Belouizdad (8) wangejumuishwa kwa kuwa wana Rank nzuri zaidi kuliko Simba (9), TP Mazembe (13) na Enyimba (33).
In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.
Ili uwe timu kubwa, shinda kombe, kinyume chake ni kelele tu.
Dawa chungu ndio inatibu [emoji381]
Nilishangaa huyo ubin wa kike aweze kuungaisha sentensi!Ukicopy kitu kwa hao vilaza wa insta,uwe unawatag kuwapa shavu....copy and paste hii TAKATAKA[emoji86]
baelezeeee baelewa batoto ba aden rageHvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.

Dah wewe jina tu linaakisi ulivyo.Ndip wale wa Thailand unatangaza biashara?baelezeeee baelewa batoto ba aden rage