Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Simba ni ya kawaida haina ubora wowote.Unaumia saaana kwa ubora wa Simba,kunywa sumu ufe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni ya kawaida haina ubora wowote.Unaumia saaana kwa ubora wa Simba,kunywa sumu ufe tu
Kiumbe niliyekuwa nadhani huwa anafikiri kwa utulivu nilimpa credit yeye.Kumbe dah!Matangadasi kabisa!Ulianza kuelezea vizuri juu ya ukubwa wa timu lakini umepotosha kusema Simba ilipata nafasi kwa sababu ya connection ya Babra, vigezo walivyotoa Simba ndio timu Bora kwa ukanda wa Afrika mashariki kwenye michuano ya Afrika
NYUMA MWIKO FCMwakarobo fc
NYUMA MWIKO FCMwakarobo FC
Walijipeleka kwenye kikao wakafurushwa.Walinuna hadi leo hii.Kwani nyie hamn connection na CAF🤣🤣
Hebu chomoa kwanza ule mwiko wa ihefu utauona ubora wa simbaSimba ni ya kawaida haina ubora wowote.
Kwani kufungwa na Ihefu ni ajabu sana? Mbona Yanga wameifunga Simba mara nyingi sana? Mbona nyie mmewahi kufungwa na Azam?Hebu chomoa kwanza ule mwiko wa ihefu utauona ubora wa simba
Hilo ndio kombe lao msimu huuKwani kufungwa na Ihefu ni ajabu sana? Mbona Yanga wameifunga Simba mara nyingi sana? Mbona nyie mmewahi kufungwa na Azam?
Kono la moo kalioni fcNYUMA MWIKO FC
Wanakera sana wana maneno mengi sana, kila kitu Ihefu Ihefu Ihefu Ihefu.Hilo ndio kombe lao msimu huu
Shida unafungwa na ihefu ukiwa na ugwadu wa kutofungwa kwenye ile unbiten yenu halafu ukaenda kule kule alikotoa bikra ya ubiten ukawekwa tena lazima iwe ajabu sheikhKwani kufungwa na Ihefu ni ajabu sana? Mbona Yanga wameifunga Simba mara nyingi sana? Mbona nyie mmewahi kufungwa na Azam?
Mkalia mwiko fcKono la moo kalioni fc
Chomoa kama mwiko wa ihefu umeumaWanakera sana wana maneno mengi sana, kila kitu Ihefu Ihefu Ihefu Ihefu.
Ni ajabu kwako wewe.Shida unafungwa na ihefu ukiwa na ugwadu wa kutofungwa kwenye ile unbiten yenu halafu ukaenda kule kule alikotoa bikra ya ubiten ukawekwa tena lazima iwe ajabu sheikh
Daima mbele nyuma mwiko
Hii imeeenda hiii imeeendaWanakera sana wana maneno mengi sana, kila kitu Ihefu Ihefu Ihefu Ihefu.