"Ukubwa" na "Ubora" maneno yanayotumiwa vibaya na wanazi wa Simba

"Ukubwa" na "Ubora" maneno yanayotumiwa vibaya na wanazi wa Simba

Ulianza kuelezea vizuri juu ya ukubwa wa timu lakini umepotosha kusema Simba ilipata nafasi kwa sababu ya connection ya Babra, vigezo walivyotoa Simba ndio timu Bora kwa ukanda wa Afrika mashariki kwenye michuano ya Afrika
Kiumbe niliyekuwa nadhani huwa anafikiri kwa utulivu nilimpa credit yeye.Kumbe dah!Matangadasi kabisa!
 
Ukiona mwanaume anajiita kwa ubini wa mwanamke basi hata maneno yake usiyachulie kwa uzito. Lazima kuna mushkel mahali fulani.
 
UMEANDIKA MASHUDU TUPU[emoji23][emoji23][emoji23]

Soma hapo chini najua lugha ndio changamoto ila omba jirani akutafsirie nini maana ya THE MOST SUCCESSFUL CLUBS IN AFRICA...

The Confédération Africaine de Football (“CAF”) announced the Prize Money for the Inaugural African Football League (“AFL”) competition which will feature the highest-ranked and most successful football Clubs on the African Continent.

The AFL will kick off on Friday 20 October 2023 in Dar es Salaam, Tanzania and will feature Simba SC (Tanzania) and Al Ahly SC (Egypt).

The Prize Money for the AFL is as follows:

$4 000 000 for the Winner

$3 000 000 for the Runner-up

$1 700 000 for each of the Semi-finalists

$1 000 000 for each of the Quarter-finalists

The Prize Money is appealing and competitive as the Winning Club will only play 6 matches to win the substantial Prize Money of $ 4 000 000.

MATOPOLO MTAKUFA KWA KIHORO KOMAENI KUFIA HIZO STANDARDS WENZENU WAMETUMIA NGUVU KUBWA KUFIKIA WALIPO,SIO JAMBO LA KULALA NA KUAMKA,
MFUNGE IHEFU KWANZA
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwani kufungwa na Ihefu ni ajabu sana? Mbona Yanga wameifunga Simba mara nyingi sana? Mbona nyie mmewahi kufungwa na Azam?
Shida unafungwa na ihefu ukiwa na ugwadu wa kutofungwa kwenye ile unbiten yenu halafu ukaenda kule kule alikotoa bikra ya ubiten ukawekwa tena lazima iwe ajabu sheikh
Daima mbele nyuma mwiko
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom