johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ili uelewe vizuri iangalie ACT Wazalendo inayounda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina Wanachama wangapi na vitega Uchumi gani?
Ukubwa wa Chama Cha siasa ni Hazina ya Fikra vichwani mwa Viongozi na akilini mwa Wanachama
Nimefurahia yale Mapokezi ya Tundu Lisu pale Mahakama Kuu lakini zaidi amenifurahisha Jinsi alivyoufafanua Uamuzi wa Jaji kwamba Mtuhumiwa akiletwa mahakamani Kitu Cha Kwanza kinachoangaliwa ni "HAKI ya Uhuru Wake"
Hili jambo litasaidia sana Siku za mbeleni Kwenye mambo ya dhamana
Huu ndio Ukubwa wa Fikra
Mlale unono 😀