Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajamvi nimekuwa nikihoji kigezo cha GPA kuwa sifa yakufundisha chuo kikuu ila kwautafti wangu kuna watu wanafirst class zisizoendana na wanachokjua
Mtizamo wangu sasa kigezo kwamba ili ufundishe chuo kikuu lazma degree yakwanza uwe na upper2nd class au kuwa tutorial uwe na 3.8 si ishu tena nashauri kigezo kiondolewe
Wakati wewe unawaza kiondolewe, wenzio wana mchakato wa kupitisha hiyo GPA ndio iwe kigezo cha kwanza kwa vyuo vyote. Kwa sasa Mzumbe ni. 3.5 wkt UDSM ni 3.8
Na kwa vyuo kama UDSM, kwa sasa hakuna kubakizwa, nafasi za kazi zikitoka unaomba, ukiwa shortlisted utaitwa kwenye interview, ukishindwa hata kama una first class unaachwa.
Na kigezo kikishushwa, wengine watakuja hapa na kusema "siku hizi hata vilaza wanakuwa walimu wa chuo kikuu"
Wasipoangalia sikumoja watajikuta wamejisahau na kuanza kuomba wapewe Rais na Waziri Mkuu toka nje ya nchi!!!
Hahaha mtu akiwa na bahati ya kuotea mtihani ndo anayedaiwa kuwa kipanga tena!
Unaweza kuotea mtihani wa kidato cha nne au sita lakini km ujuavyo kuwa matokeo ya mtu ya chuo ni wastani wa kila alichopata kuanzia mwakawa kwanza hadi wa mwisho. Sasa hapo kubahatisha kunatoka wapi?
Hahaha mtu akiwa na bahati ya kuotea mtihani ndo anayedaiwa kuwa kipanga tena!
Wanajamvi nimekuwa nikihoji kigezo cha GPA kuwa sifa yakufundisha chuo kikuu ila kwautafti wangu kuna watu wanafirst class zisizoendana na wanachokjua
Wanajamvi nimekuwa nikihoji kigezo cha GPA kuwa sifa yakufundisha chuo kikuu ila kwautafti wangu kuna watu wanafirst class zisizoendana na wanachokjua
kwahiyo wewe unataka mtu mwenye GPA 2.1 akafundishe chuo kikuu?. kitu cha kwanza kabisa kitakacho kusaidia kujua mtu anauwezo wa kufundisha ni GPA kubwa.kinachofuata ni kuwachuja wenye GPA kubwa,si wote wenye GPA kubwa wanakuwa T.A, AU lecturers.Mtizamo wangu sasa kigezo kwamba ili ufundishe chuo kikuu lazma degree yakwanza uwe na upper2nd class au kuwa tutorial uwe na 3.8 si ishu tena nashauri kigezo kiondolewe
hapo sasa inakuwa ishu.first class ninazozitetea hapa ni zile cream ,yaani wanaojua mambo kwa undani na kusoma ili kupata ujuzi si kufaulu peke yakethe issue ni vice versa kibongo bongo..... Komaa wiki mbili kabla ya mtihani....kutana na mtihani mule mule ulimokariri tusua mambo mengine juu kwa juu
safi kabisa nakupa like 1000 mkuu.wakisema wachukue lecturer mwenye gpa yeyote basi kila mtu angekuwa anataka awe lecturer na thamani itashuka sasa maana watasema sikuhizi hadi vilaza lecturers.....wakati wewe unawaza kiondolewe, wenzio wana mchakato wa kupitisha hiyo gpa ndio iwe kigezo cha kwanza kwa vyuo vyote. Kwa sasa mzumbe ni. 3.5 wkt udsm ni 3.8
na kwa vyuo kama udsm, kwa sasa hakuna kubakizwa, nafasi za kazi zikitoka unaomba, ukiwa shortlisted utaitwa kwenye interview, ukishindwa hata kama una first class unaachwa.
Na kigezo kikishushwa, wengine watakuja hapa na kusema "siku hizi hata vilaza wanakuwa walimu wa chuo kikuu"
hahaha mtu akiwa na bahati ya kuotea mtihani ndo anayedaiwa kuwa kipanga tena!