ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
- Thread starter
-
- #21
nadhani hayupo kwenye spotlight for 3yrs sasa hata kipindi anatangza kupumzk hakuwa kwenye ile peak takeTatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1
N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.
yep ingawa bado anashika nafasi za juu ,ila swali ni je kwa lipi hasa akawa na ushawishi ule mtandaoni?Alishapitwa na CR7 mda mrefu
Ah... walokole utawaweza?sasa yesu katokea wapi ndugu yangu?
beiber usimfananishe na ujingaNajua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.
Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))
Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?
Karibuni.
Sijawahi kumuelewa Bieber hata wimbo mmoja....Derulo na Chris Brown nishawahi kuwaelewa baadhi ya nyimbo zao.Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.
Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))
Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?
Karibuni.
Em taja nyimbo zake unazozifaham Mkuu...Sijawahi kumuelewa Bieber hata wimbo mmoja....Derulo na Chris Brown nishawahi kuwaelewa baadhi ya nyimbo zao.
Sasa wewe uko huko Chunya... Unaaccess na Azam tv tu. Anachokifanya Tylor Swift Marekani unakipata saa ngapi..Yote tisa kumi ni Taylor Swift amevunja record ya Michael Jackson kwenye Amercan Music Awards kwa kua na jumla ya tuzo 29 na MJ alikua na 24,
Yaan Taylor, like for real??
Anyway kila nchi na mkali wao so hata Bieber unaweza usione ukali wake lakini ndie anakimbiza.
Nmb moja ronaldo.Kweli,,ata Instagram yupo juu kwa kuwa na followers weng.
Wewe elewa tu mkuu kwamba sijawahi kumelewa bieber tangu Ludacris anamtoa kwenye game.Em taja nyimbo zake unazozifaham Mkuu...
Aiseenadhani hayupo kwenye spotlight for 3yrs sasa hata kipindi anatangza kupumzk hakuwa kwenye ile peak take
Na niliskia anaanda gospel album , naona gospel ndo imekua uchochoro Wa attention seekers
Ndio chris kawa wakawaida skuhizimvuto ? Kwamba kamzidi chriss mvutoo ee?