Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

Tatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1

N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.
Dogo anakula unga balaa, hajapumzika mziki wala nn yupo kwenye vituo vya kulelea mateja..
 
Hajapumzika muziki how ebu nipe nyimbo yake yoyote recently!!!!!
Nimekwambia dogo kaathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya, kama chid benz ndiyo maana huwezi kumwona akitoa new song
 
 
Nimekwambia dogo kaathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya, kama chid benz ndiyo maana huwezi kumwona akitoa new song
La drugs alishalisema mwenyw na toka yuko na 19yrs ndo alinaza

N ahsante kwa taarifa
 
Aisee ..wakati mwingine JF huwezi amini wanachoandika..

Yani huu uzi utafikiri woote waliochangia ni wakolomije..

Bieber mnachukulia poa!! Hamamjui aisee...na bila shaka pia nyimbo zake hamzijui.
Me nakuona kama wewe ndie wa kolomije unayejaribu kuuvaa udarisalama,

Darling, kila mtu na msanii wake sasa kama wewe unamuelewa zaidi fulani na mwingine anamuelewa zaidi fulani, usilazimishe wote wawe na mtazamo wako.

Mf mimi katika hao woote waliotajwa hakuna wa kumfikia Callum Scot na Sam Smith, ndio niwapendao.

The shit goes to Taylor ana mashabiki wake lakini huwezi niambie nichague Taylor over Rihanna japo Riri anamkubali Taylor.
 
Uwe na wakati mzuri..
Jay Z alikaa kimya miaka mi4 kabla ya kutoa album yake ya 444 lakini alikua bado anaskika..the same kwa Bieber bado anaskika kwenye vi'collabo kama hiki'I dont care'so hajapotea
 
lakini pia Michael angelikuwapo basi angekua zaidi ya hapo tho sipingi point yako uko sahihi
 
kiasi hili lina ukweli
 
Aisee ..wakati mwingine JF huwezi amini wanachoandika..

Yani huu uzi utafikiri woote waliochangia ni wakolomije..

Bieber mnachukulia poa!! Hamamjui aisee...na bila shaka pia nyimbo zake hamzijui.
leta facts wacha mboyoyo mingi
 

Huyo Taylor Swift wamempa kazi maalumu ya kupromoti lgbtq society ndio maana wana mpaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…