Muziki ni biashara inayosimamiwa na makampuni makubwa yanayowekeza fedha nyingi yakilenga kupata faida hivyo basi masuala ya talent ni irrelevant kabisa.
Thats why WCB wamefanya mtu kama QUEEN DARLIN umjue na anapiga showa kama kawaida ili hali kuna pure talents zinakuwa wasted, the same applies to HARMONIZE, kwanini ulimsikia kila siku HARMONIZE kushinda watu ambao talents zao hazina mashaka kama Barnaba Boy na BELLE 9?
Jibu ni hilohilo moja kuwa uwekezaji unaofanywa na kampuni husika inayomsimamia mwanamuziki huchangia sana kwenye sanaa ya msanii husika.