Wasalaam wakuu,
Siku kadhaa zilizopita niliandika uzi hapa nikiomba ushauri kuhusu mtu anayeweza kunisaidia kumtibu mume wangu maradhi ya ukhanithi wa kurogwa.
Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7
Nimepokea meseji kutoka kwa watu mbalimbali wakinielekeza nijaribu kuwaona waganga, masheikh na wachungaji mbalimbali.
Ila katika watu wote nilioelekezwa kuwaona ni huyu Mganga anaitwa " Mwandulami " ndio amependekezwa na watu wengi sana.
Nimeelekezwa yupo Njombe na ni wa uhakika na ukweli sana na amesaidia watu wengi sana.
Ninataka kufunga safari kwenda kumuona. Kwa mnao mjua vizuri huyu Mwandulami naomba mnipe maelezo yake tafadhali.
Ninataka kabla sijaenda kumuona nijiridhishe kwanza.Najua hapa JF kuna watu wengi sana na nnajua watakuwepo ambao wameisha kutana na Mwandulami.
ASANTENI SANA.