Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Kwa hiyo umeamua kuja kunianika JF [emoji23][emoji23]. Amna noma ngoja tusubiri tunaweza pata msaada wife wangu..
 
a
acha ushirikina wewe
 
Duh hasira hasara

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Pambana na hali yako ,usituchoshe hapa ,wewe ni mjinga sana
 
Kaa ukijua kwamba kama ni matusi basi kwangu umeyaoga!
 
Hdithi hizi kwahiyo mnapigia debe ushirikina idiot, hii ni ya kutunga hakuna ukweli wowote kalmanzila nyie
 
Hbr yako mchawi mkubwa???.
 
Kabla ya kufanya si ungeomba ushauli hapa kwanza na mzee mganga alikuuliza mara3 ukasema tawile mganga sasa unakuja hapa kuleta hadithi za kuibia pensel si upuuzi huu
 
Baadae Yule bibi akamkabidhi mganga ule mti halafu akachukuliwa nyoka ambae ameuwawa akachanganywa kwenye ile damu ilyo kuwa kwenye chungu pamoja na dawa kisha vikachemshwa mpaka vikawa jivu.


(Siku hizi vitu vikichemshwa sana vinakuwa jivu ee)
i mic u my love[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hiyo ndio akili halisi ya mwanamke

Wivu, husda, kutokuwaza matokeo ya maamuzi yake na Majuto huja mwishoni

Wengi mko hivyo… kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…