Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Nimeamini kuishi na mwanamke ni kujitoa mhanga tena kuvaa mabomu kabisaaa!!!hivi kumbe mwanamke Anaweza kunifanya vyovyote atakavyo yeye hata kutoa uhai wako!!!!wewe ni mjinga Sana aiseh!!najuta hata kwanini mimba yako ilitungwa hapa Tanzania!!!!najilaumu Sana kusoma hii habari imenifanya nijute Sana kuishi na mwanamke ndani!!
 
kama ulivyojitoa na kugharamika kwa mganga Yesu anataka ujitoe zaidi hapo kwa kumkabidhi maisha yako yote na mali zako.Kwa Yesu mnataka kirahisi rahisi bila kujikana.Yesu anakuuliza hutarudia tena huo ujinga?au unataka uponyaji alafu urudi kwenye upagani wako?
 
Huyo mganga yuko wapi anisaidie nimpate Hamisa mabeto?
 
...khaaa unatudhalilisha wanawake wenzio.....huyo mwanaume siku akijua ww ndo umemfanyia hvo jiandae kuwafata hao waganga........humu kama Kuna watu wa baridiadi hao ndo wanaweza kukusaidia... wasukuma wanajua kutibu uchawi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Dah jamaa kamaliza udsm lakini akaona ajirayake ni hilo bhoro lake.

Ila aunt una roho aisee.
 
Wanawake bwana hapo ndio umeachiwa nyumba ya urithi,je ungekuwa na mabugando matatu si ungeua mtu.
Hahahahhahha! Dah! Eti MABUGANDO hahahahh! Nimecheka sana.

Dar kuna mabugando ya kutosha .
 
Nnae mpenzi wahivi,nanimezaa nae,kiasi kwamba namuogopa kabisa nakumuona adui,ogopa saana hii kitu,maneno kama niheri ufe,au uumwe nnamaneno yanayoashiria kudhuru mwili,au kufurahia anguko lako,dahh,haya mambo yapo aisee
 
mpeleke mumeo kwa buldoza mwamposa na utajihakijishia mwenyewe kati ya Mungu na shetani nani bingwa.
 
Mmefukua tena hii thread ya Kitapeli aliyoanzisha mmoja wa genge la yule Jamaa yetu humu aliyekuwa anaibia watu mahotelini akijifanye mganga. Yaani kuna mmoja alienda kwake wakamwambia apeleke kuku nyeupe wakamwambia afunge macho huku wanamxungushia kuku wanailisha sumu ikafa wakamwogopesha mambo yako ni mazito inabidi tiba itumie ngamia na kila mmoja ngamia bei ni milion 1. Sasa ngamia sijui hata aliambiwa ni ngapi . Aliponieleza nilipanga nimwekee tego nimkamate apotee kabisa. Nikaamua kumshiti tu.
 
Yaani hapa ni thread ya kuteka Wateja. Ni genge Fulani hivi sema watu tulishalisema hapa JF mpaka waliotapeliwa nao mahotelini DSM, Bagamoyo na Tanga walijitokeza. Walipoona wameshtukiwa waliufyata. Ndiyo maana unaona thread haijibiwi. Wanajijua na ndugu zetu wanawajua.
 
tangu mwaka 2018 hajakua online huyu dada sijui mama..
Tuliwashtukia. Wako genge na walishatapeli members huku na ndugu zao members. Hivyo ukipitia thread yote utaona walivyopigwa za uso. Nimekumbuka Sana hii.
 
Hap
View attachment 1178296View attachment 1178296natabiri..... Jambo gumu lilimkumba mtoa maada
Mkuu tulimgundua ni Yule Yule alipiga Sana watu matukio humu na alipojulikana nafikiri akaja na ID nyingine. Na Mimi ni mmoja wa niliowashtua members hapa. Hivyo ilibidi aachane na thread akarudia ID yake ambayo inafahamika tu vizuri. Sema siku hizi zile post zake za Kitapeli uganga haleti tena. Yaani Aliza watu balaa.
 
Walitapeliwa kivipi kwamba Kuna watu walihitaji huduma Kama hiyo 😥😥
 
Walitapeliwa kivipi kwamba Kuna watu walihitaji huduma Kama hiyo 😥😥
Hapana. Walikuwa wanaanzisha mada tofauti tofauti za kiganga. Yaani zile ambazo unaweza shawishi mtu. Ukienda inbox mnapanga anakupa na namba ya simu. Hawakuwa na ofisi Bali KAZI ni mahotelini kiasi kwamba si rahisi kuipata tena ukishatapeliwa. Kuna thread Moja walishambuliwa na kutajwa majina. Toka siku hiyo hawakuwahi kuanzisha tena thread za kiganga. Huyu Fatma Pazi siku hiyo hiyo ya thread kesho yake tu alipigwa ban la kufa mtu na hakuthubutu kurudi tena kwenye thread hii. Ona alijiunga 5th May 2018 last seen 6th May 2018. Hiyo ndiyo JF Mkuu.
 
Kuna harufu ya utapeli.
Sema sometimes kuwa na mwanamke ni kama kuishi kwenye pango la chatu mwenye njaa kali
 
Asante nimeelewa
 
Nyie mnadhani ni mwandiko wa mwanamke huu? Biashara io
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…