Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Kwa kifupi ulioa, sawa endelea
 
Nilifika nyumbani nikiwa natetemeka kwa hasira. Bila kupoteza muda nikampigia simu mume wangu simu ikawa inaita bila kupokelewa. Nilifanya hivyo zaidi ya mara kumi na hali ikawa hiyo hiyo.
Kwanini hukusimamisha taxi umuulize instantly?
 
Mchawi anaua halafu analia kuzuga watu, ikifika usiku anenda kumla nyama.

Hivyo upo kipengele Cha pili kwenye ulozi wako.

Na huwezi kumuopoa kama utashiriki kwenye Tiba yake.

Maana wewe ndio mchawi na si huyo mganga
 
Biashara matangazo. Ingawa stori hii inafanana na tabia za wanawake; wanatenda kwanza kwa hisia ndipo wanaanza kufikiria. Hawafikirii kwanza madhara ya jambo fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…