Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Huu uzi ni wa mwaka 2018 aje atujuze hapa mpaka sasa kinachoendea ni kipi?
 
Reactions: _ly
Pole sana nikushauri hapa Naamini utafanikiwa tafuta kanisa la eagt city center kwa mchungaji Katunzi liko dar mbagala huko ukitaka adress vizuri nitakupa hapa naamini atapona maana nimeshuhudia wengi wakipona nenda kanisana kwenye maombi na jumapili utakuja shuhudia Hapa
 
Kanisa lipo mtoni kijichi, mtaa wa KaTunzi,kwa mchungaji Katunzi
 
Matangazo ya makanisa yameeanzaa, haya makanisa mengine walete address, zote ni biashara kama biashara nyingine
 
Mwanamke ni kiumbe pekee kisichojua kinataka nini, kwa kifupi wanawake hawaeleweki.
 
Hakuna anaemzidi yesu Kristo hata aje nani kiboko wa yote ni yesu tu
 
Uzi wa kitambo sana ila mjue kuwa wanawake wakitaka kuwafanya vibaya wanaweza ni njia hizo hizo na ni ngumu kuwazuia maana wana wivu balaa
 
Kataa ndoa oyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…