faokipe
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 1,017
- 1,176
ina maana sasa una mwaka na kitu hujagegedwa!!au unapiga mechi za pembeniKumwambia ukweli hapana.. Mimi nataka nipate msaada arudi katika hali yake ya kawaida. Ila nashukuru sana kwa ushauri wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina maana sasa una mwaka na kitu hujagegedwa!!au unapiga mechi za pembeniKumwambia ukweli hapana.. Mimi nataka nipate msaada arudi katika hali yake ya kawaida. Ila nashukuru sana kwa ushauri wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ushindwe. Huyo ndugu yake shetani sio wote. Ila wakaja mpunguze umarioooooungu is spotting you,and zooming you out[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake Sir God is zooming you!!
Daaaaaaaaaaaah yaaani nimeishiwa pose sijawahi ona/sikia wamfunga mtoto wa watu kisa wivu????!!!!!hakika wewe ni mwanamke hata shetani anakuogopa usiefaa kupungwa, kweli ukathubutu kumharibu kaka wa watu kisa wivu wako usiokuwa wa maana Mungu akuhukumu kwa mateso unayompa kaka wa watu na hautokuwa na amani wala furaha kwa machozi ya mumeo ni bora umweleze ukweli na kingine nenda kwenye maombi omba Mungu akusamehe na umaanishe hapo utapata jibu, usithubutu kwenda kwa waganga wa kienyeji tena.Kumwambia ukweli hapana.. Mimi nataka nipate msaada arudi katika hali yake ya kawaida. Ila nashukuru sana kwa ushauri wako
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuanzia leo nitakuwa natembea na begi nikimaliza natia used condom kwenye begi naenda kutupa nakokujua mimi
Asante sana kwa ushauri ...POLE....mwandulami namfahamu vizuri yupo mtwango njombe ni maarufu ila ni tapeli utapigwa pesa mpaka ukome.wenyeji wapale wanamwogopa sna sbb ya vituko vyake vya uchawi uchawi na mazingaumbwe.nakushauri tu uende kwa wachungaji hilo tatizo lako ni ndogo Mungu anaweza kukusaidia hakuna mwngne awezaye zaidi ya MUNGU kwngne nikupoteza pesa zako bure na mda
Asante kwa ushauri. Barikiwa sana.mwandulami n tapeli hana chochote
aliekufa mwakipande ndio alikuwa noma
kanda ya kusini utajiri wao n wa kichaw chawi 90% yaan unakuta MTU n tajiri ila kavaa minguo chakavu yenye chawa
Rudisha imani yko kwa mungu wa mbinguni, km upo dar esalaam muone Mchungaji mmoja anaitwa Paul marekana pale magomeni Kanisa LA wasabato mungu atamsaidia Mzee wako kupitia kwa Mchungaji Huyo hii nikwaimani.Asante sana kwa ushauri ...
Asante sana kwa ushauri. Ubarikiwe sanaRudisha imani yko kwa mungu wa mbinguni, km upo dar esalaam muone Mchungaji mmoja anaitwa Paul marekana pale magomeni Kanisa LA wasabato mungu atamsaidia Mzee wako kupitia kwa Mchungaji Huyo hii nikwaimani.
Ni ukweli? Alikuwa na tatizo gani ?Mwandulami ndo mwisho wa reli, rafiki yangu aliwekwa sawa mapaka kesho anadundika
Samani kido kunasentesi cjaielewa vzr, kwamba ukubwa wa maumbile ya mmeo umesababisha vifo vya waganga saba ,je ni waganga wakienyeji au? Naumesababishaje niweke sawa plsAsante sana kwa ushauri. Ubarikiwe sana