mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wadau wa gt kwema???embu shirikianeni nami mara moja ktk kufikiri hili jambo.
Nimekaa nikawaza mara nyingi kwamba inawezekana kabisa the way tunaviona viumbe hai vidogo kabisa ktk microscopes na vingine vidogo lakini kwa macho ya kaida kuwa ni vidogo sana,nasi pia wapo viumbe wenye uhai wa namna nyingine tusiouhisi wanatuona hivyo hivyo.viumbe hao hao inawezekana kabisa wakawa na makazi ktk sayari kubwa ktk solar system au katika sayari kubwa zaidi ktk nyota kubwa zaidi ya jua letu ambazo nazo zina mifumo kama nyota yetu jua.
Inawezekana kabisa hao viumbe wakawa wakubwa sana kwetu kwa ratio hata ya virus na binaadam,hivyo basi wakawa na uwezo hata wa kuihamisha dunia yetu au hata jua kwa ujumla wake kama ambavyo wewe binaadam unaweza ishi nao mwilini lakini wao wakakuchukulia wewe kama nyumba tu wasijue hata unamuonekano upi??rejea bacteria na binaadam.
Eti,labda nakosea kufikiri.