babseraa
New Member
- Jun 25, 2015
- 2
- 0
SIDHANI KAMA KUNA VIUMBE KAMA HIVYOHiyo ni dhana fikirishi kweli, unalo liwaza sio geni Machoni au Masikioni kwa watu...!
Tunafunuliwa katika vitabu vya Dini kuwa, wapo viumbe tusio weza kuwaona kwa Macho yetu, sisi kama binaadamu.
Viumbe hao ni Majini pamoja na Malaika....na miongoni mwa Majini kuna Mashetani.!
Jaribu kupiga picha, na tuanzie hapa katika mada yako..