SIDHANI KAMA KUNA VIUMBE KAMA HIVYOHiyo ni dhana fikirishi kweli, unalo liwaza sio geni Machoni au Masikioni kwa watu...!
Tunafunuliwa katika vitabu vya Dini kuwa, wapo viumbe tusio weza kuwaona kwa Macho yetu, sisi kama binaadamu.
Viumbe hao ni Majini pamoja na Malaika....na miongoni mwa Majini kuna Mashetani.!
Jaribu kupiga picha, na tuanzie hapa katika mada yako..
Umewaza nilichokuwa nikifikiria.Uwezekano hui ni mkubwa sana. Huwezijua hata hii dunia huenda ni kiumbe Kikubwa mno. Sema hatujui
Utashi kwa maana yake au utashi kuzidi binaadam??HAPANA..
Coz kwa mujib wa dini na uwezo alionao bnadam c dhan km kutakuwepo viumbe vingine vyeny utashi
kuzid bnadamUtashi kwa maana yake au utashi kuzidi binaadam??
Vyenye utashi vipo vingi,ila haufanani kwa kila kiumbe.angalia kila mnyama anatetea watoto wake wakiwa wadogo,mbele ya adui yao.