Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kuna viungo vya mwili lazima vifanane | Page 13 | JamiiForums Kuna viungo vya mwili lazima vifanane
Za kuangalia mfd na bb ya productTerms and conditions za Wapi tena hizi?
Kwani nyuzi zina copy rights Mkuu sasa Mod anaziunganisha nyuzi hizi moja unapotea 😂Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi
Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same
😀kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje🤣
Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na...
- Mshana Jr
![]()
- mwili viungo
- Replies: 651
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Mbn unacopy nyuzi mzee
Japo sijaelewa chochote, lakini ningependa hili linipite tu mkuu bila kujua chochote hapo 🙌🏽Wolpa na bwawa na harufu
Wala haina ukweli wowote! Mrefu, vidole virefu mpaka mchepuko alikuwa anaogopa, sasa siku amenikuta alishangaa mwenyewe!Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu.
Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
Bongoland [emoji23][emoji23][emoji23]genetics ya wapi hii? [emoji848]