Tetesi: Ukubwa wa Mdomo/Vidole huakisi vitu vingi mwilini mwa binadamu


Mbn unacopy nyuzi mzee
 
Kwani nyuzi zina copy rights Mkuu sasa Mod anaziunganisha nyuzi hizi moja unapotea 😂
 
Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu.

Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
Wala haina ukweli wowote! Mrefu, vidole virefu mpaka mchepuko alikuwa anaogopa, sasa siku amenikuta alishangaa mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…