Ukubwa wa nyumba ni 90m². Nisaidieni kujua makisio ya gharama hadi kuimaliza

Ukubwa wa nyumba ni 90m². Nisaidieni kujua makisio ya gharama hadi kuimaliza

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii.

NOTE:
*Haina fence
*Vyumba vya kulala 2
*Bati migongo mipana gauge 30
*Finishing ya skimming, vinyl, w.guard
*Gypsum brd, tiles, sitting toilets, kitchen set up, etc

Karibuni.
 
BOQ inalipiwa acheni kudharau fani za watu.
Mkuu hata consultations za kidaktari au masuala mengi ya kijamii huwa yana wataalamu na yanalipiwa ila hapa JF since kuna watu wa fani mbali mbali na wako huru kushauri kitaalam basi ni sehemu sahihi kwa ambao hawawezi ku afford hizo gharama.

Nafikiri kama unaweza kusaidia unasaidia tu kwakuwa na wewe kuna siku utahitaji ushauri fulani ambao hauna utaalam nao.
 
Ngoja wajuzi WA mambo waje,wasipokuja mtafute fundi maiko anakufanyia makadilio vizuri tu,japo ongezeko la bajeti halikwepeki!
 
Wasaliti wanaendelea kusalijiwa upande wa pili.
Bado huyo wanayemwita nani sijui. Na aondoke tu hana kiwango cha kucheza Simba.
 
Mkuu hata consultations za kidaktari au masuala mengi ya kijamii huwa yana wataalamu na yanalipiwa ila hapa JF since kuna watu wa fani mbali mbali na wako huru kushauri kitaalam basi ni sehemu sahihi kwa ambao hawawezi ku afford hizo gharama.

Nafikiri kama unaweza kusaidia unasaidia tu kwakuwa na wewe kuna siku utahitaji ushauri fulani ambao hauna utaalam nao.
Nimedeal na real estate hapa atadanganywa tu, hiyo ni physical issue au uwe na vipimo halisi exactly kabisa ndio mtu anaweza kukusaidia.

BOQ hata laki na nusu kwa vyumba viwili mtu anaweza kumfanyia, kuna wakati tubadirike.
 
Back
Top Bottom