Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
BOQ inalipiwa acheni kudharau fani za watu.Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii.
NOTE:
*Haina fence
*Vyumba vya kulala 2
*Bati migongo mipana gauge 30
*Finishing ya skimming, vinyl, w.guard
*Gypsum brd, tiles, sitting toilets, kitchen set up, etc
Karibuni.
Mkuu hata consultations za kidaktari au masuala mengi ya kijamii huwa yana wataalamu na yanalipiwa ila hapa JF since kuna watu wa fani mbali mbali na wako huru kushauri kitaalam basi ni sehemu sahihi kwa ambao hawawezi ku afford hizo gharama.BOQ inalipiwa acheni kudharau fani za watu.
Nimedeal na real estate hapa atadanganywa tu, hiyo ni physical issue au uwe na vipimo halisi exactly kabisa ndio mtu anaweza kukusaidia.Mkuu hata consultations za kidaktari au masuala mengi ya kijamii huwa yana wataalamu na yanalipiwa ila hapa JF since kuna watu wa fani mbali mbali na wako huru kushauri kitaalam basi ni sehemu sahihi kwa ambao hawawezi ku afford hizo gharama.
Nafikiri kama unaweza kusaidia unasaidia tu kwakuwa na wewe kuna siku utahitaji ushauri fulani ambao hauna utaalam nao.
Bila shaka washampa mwongozo lo