Ukulima wa vitunguu unafaida kubwa?

Ukulima wa vitunguu unafaida kubwa?

Vent89

New Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
3
Reaction score
1
samahani watu wangu naomba kuuliza eti nikitaka kulima vitunguu kama heka moja naweza pata faida kiasi gani?? samahanini kwa usumbufu
 
Swali lako linadhihirisha haupo serious...

Jifunze kuangaika kwa ku search forum na sio kusubiria mteremko,search swali lako humu utapata majibu yako...kuwa serious

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Soko lako unategemea litakuwa wapi na wewe utalima wapi ? Sababu kama utasafirisha kwenda kuuzia pengine faida yako itabidi utoe bei ya usafirishaji.., cha muhimu angalia kwanza soko, au ulizia bei ya vitunguu sehemu tofauti tofauti wakati wa msimu na sio wa msimu, alafu ulizia pia kilimo cha vitunguu kwenye hizo ekari zinagharimu kiasi gani na utapata kiasi gani
 
Jifunze kuangaika kwa ku search forum na sio kusubiria mteremko,search swali lako humu utapata majibu yako...kuwa serious

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Swali lako linadhihirisha haupo serious...

Wanasema hakuna kitu kama Swali la Kijinga bali Majibu.., Swali / research inaweza kuanzia popote pale na jibu dogo atakalopata hapa anaweza kuongezea na atakalopata pengine..

Na kama majibu yakija kwamba hailipi inaweza kumsaidia muda wake kuacha kuendelea na research au kutafuta / kufanya kilimo kingine
 
Kwa vitabu tupigie Leo 0758303090 au PM tafadhali
 
Back
Top Bottom