Ukumbi Maalum wa Watia Nia. Ni Wazo Tu

Ukumbi Maalum wa Watia Nia. Ni Wazo Tu

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
Wakati huu kutakuwepo na watia nia wengi sana, toka kwa vyama vyote shiriki.
Kwa maana hiyo huu Ukumbi wa Siasa utajazwa na hao watia nia na hizi mada nyingine za kisiasa zitabanwa.

Kama kuna uwezekano, mafundi wa JF watengeneze mahala maalum pa hawa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za siasa.
 
Wakati huu kutakuwepo na watia nia wengi sana, toka kwa vyama vyote shiriki.
Kwa mamana hiyo huu Ukumbi wa Siasa utajazwa na hao watia nia na hizi mada nyingine za kisiasa zitabanwa.

Kama kuna uwezekano, mafundi wa JF watengeneze mahala maalum pa hawa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za siasa.
Naunga mkono hoja. Maana nyuzi za,watia kuchukua fomu zimezidi. Kila mchukua form akifunguliwa uzi, si patakuwa hapatoshi?
 
Back
Top Bottom