Benjamin Fredrick
New Member
- Jun 30, 2025
- 1
- 1
Habari wakuu!
Kwa yeyote Ambaye anataka Kutengeneza kipato cha ziada (Side Hustling) Nina uza Ukumbi wa Mpira Ambao ndani yake ni OFISI ya betting pia.
Ukumbi upo Eneo lenye Watu wengi na una Wateja wengi sana Kwa Mechi zote hasa za Simba na Yanga.
Ukumbi una uwezo wa Kubeba Watu 120 wakiwa wamekaa wote.
VITU VILIVYOMO NDANI YA UKUMBI;
1) Tv Mbili zimechomelewa ukutani ( moja ni Hisense inch 58 na nyingine inch 65)
2) speaker Alitop watt 6000 zenye mziki mnene na ni Mpya.
3) Generator DAhfa 3.2Kva
4) ving'amuzi vinne vya Azam na DStv na Mfumo WA Extra view WA DStv.
5) Feni
6) Benchi zenye uwezo wa Kubeba Watu 120.
7) Machine za betting ( Gal sport )
8) Umeme WA kujitegemea ( Haushei na MTU)
9) Mfumo WA umeme WA generator in case UMEME umekata.
10) HDMI splitter Njia NNE Kwajili ya kusambaza Signal na picha kwenye TV Zaidi ya moja.
11) mbao za Matangazo.
Bei: MILLION 5.
Mawasiliano: 0710862482
Njoo ukague Kila kitu ndipo ulipie. Ni Ukumbi Ambao unaendeleza pale nilipoishia.