Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Nyakati za mwisho utagundua kuwa Yesu hajawahi kutokea kama mwana wa Mungu, utalia na kusaga meno. Mungu wa kweli atakujibu sijawahi kumtoa mwanangu kafara. Utakuwa mgeni wa nani? Jitambue haraka!
 
Nahuo ndio ukweli, sikuizi kilamtu anaeamka asubuhi na kujiita mchungaji ama nabii nk, kaziyake yakwanza hutafuta kiki kupitia kanisa katoliki, yani asipo challenge katoliki anajiona kama bado hataaminika.
 
Nyakati za mwisho utagundua kuwa Yesu hajawahi kutokea kama mwana wa Mungu, utalia na kusaga meno. Mungu wa kweli atakujibu sijawahi kumtoa mwanangu kafara. Utakuwa mgeni wa nani? Jitambue haraka!
Aiseee
 
Mkuu hakuna shaka yeyote kwamba the Papal Authority is demonic,and even the Bible shows it clearly.So what you have presented does not surprise me,that is the Papal Authority.Biblia inamtaja kama mnyama kutoka baharini,mpinga Kristo au mama wa makahaba.
 
Wasabato mpooo
Acha umbumbumbu wewe,hili si swala la Wasabato,this is knowledge for everybody.It is indeed an eye opener for the sleeping many,including you.

Na labda nikuulize kwani mleta mada alicho present si kweli.Sasa wewe unadhani kwa nini hiyo auditorium iwe designed hivyo.Huo ni utambulisho mkuu,wake up.Mtalala mpaka lini,huruma sana.
 
HAO JAMAA WAMEIHARIBU SANA BIBLE.

KILICHONIUMA ZAIDI NI KUWAINGIZA KINGI WENZAO KUANZISHA DEVIDE AND RULE YA DINI YA KIISLAMU.

JAMAA WALIMDANGANYA MOHAMED WAKAPELEKA MAJINI YAO, MASHETANI, MAPEPO,
MA UBANI, ROZALI, KOFIA NK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ