Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye
Ukichokonoa Imani ya mtu lazima Akupinge mkuu
 
Wakati tunaandika haya Tulitegemea Kitu kama hicho

Ukirejelea kwenye Nyuzi yangu sidhani kama nimeandika sehemu yoyote Ubadili dhehebu au dini yako hamna kifungu hicho

Ila kwenye kasoro hainizuwii mimi kuandika

Mfano makka, Kuliingizwa baadhi ya Mila za western na Walinzi kutoka USA wakawa Wanalinda pale

Zikajengwa obelisk Ambayo moja kwa moja ni Identity ya Shetani na Mungu Hapendi
Hivyo Eti labda kwakuwa mie ni muislam ndiyo nishindwe kureveal Laa hashaa!!

Huyo DaVinci ndiyo mwiba haswa ,wa wakatoliki juu ya mambo aliyokuwa akifuchua hakufukuzwa Italia burebure tu
 
🀝🀝
 
sahihi
 
Aisee
 
Umenikumbusha Kuna documentary moja Inaitwa SECRET OF SYMBOL mpak lile duara la nyuma katika picha ya yesu nilivyojua maana yake nilichoka..!
Mkuu hii Dunia ina mengi sana

Tatizo tushapangiwa vichache Tunavyotakiwa kujua na ndio Tumevijua hivyo tu
 
Pole sana una safari ndefu ya kujifunza ila hujaamua tu. Achana na mambo ya kufikirika, jifunze biblia mbona iko wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…