Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #41
Sawa shukraani kwa taarifa mkuuPole sana una safari ndefu ya kujifunza ila hujaamua tu. Achana na mambo ya kufikirika, jifunze biblia mbona iko wazi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shukraani kwa taarifa mkuuPole sana una safari ndefu ya kujifunza ila hujaamua tu. Achana na mambo ya kufikirika, jifunze biblia mbona iko wazi kabisa
[emoji38] [emoji1787] [emoji23] [emoji81] [emoji38] [emoji1787] [emoji23]
Hiki hapa....the great secret ya David ickeView attachment thebiggestsecret.pdfShukrani mkuu, kimeandikwa na nani?
Kitawafaa wengi🙏Hiki hapa....the great secret ya David ickeView attachment 1717474
Hata padri wake ata mkataa kwenye hili duuuh ha ha haKuanza na sala ya kuungama huku bado unaishi katika dhambi haisaidii chochote, halafu ondoa uongo wako huo wa biblia kuandikwa na wakatoliki nenda kajifunze zaidi inaonekana hujui chochote
WallahUmecheka kwa Emoji zote[emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani sana mkuu, weekend ntakitendea hakiHiki hapa....the great secret ya David ickeView attachment 1717474
😅😅😅Wallah
AiseeHata padri wake ata mkataa kwenye hili duuuh ha ha ha
Ipo siku ukweli utakua wazi...
Hakupewa tuzo bure ni fundiTukiaachana na Mambo ya imani huyo designer alitulia kwa kweli.
Tunapozungumzia kuruhusu ubongo ujifunze kitu kipya tuna maana kuna possibility kubwa kukutana na mambo ambayo yanakinzana na imani yako?Kuna kitabu kinaitwa the Great Secret kitafute
Kina majibu ya maswali hayo...
As long as utaanda ubongo wako kujifunza kitu kipya...ni life changing
Note:Ukweli huwa wanaufahamu watu wachache sana kwasababu knowledge ndiyo inayofanya watu watawale...
Mambo mengi tunayoaamini tunayafahamu ni uongo..
Nimekuelewa mkuu tatizo sisi binadamu wengi wao hatupendi kusoma kuchambua kwa nini hiki kiko hivi, kwa nini dunia moja na Mungu mmoja na dini zipo zaidi ya 10,000/= duniani kote, tunapenda kushikilia kile tukiaminicho na sio kutafuta tafuta na kujifunza kwa nini hii hiko hivi, hii ndiyo maana tunapenda kutafuniwa na sisi kazi yetu ni kumeza tu, ujiulizi ni nini hiki ninachomeza, Asante mkuu nilikuwa sijui na sasa nimejua nimegain kitu kutoka kwenye mada hii, mimi huwa ninapenda kufanya upembenuvi au kutafiti na kuelewa jambo siyo mtu wa kutafutiwa tu na kupewa halafu wewe unaitikia ndiyo mzee!!Wakati tunaandika haya Tulitegemea Kitu kama hicho
Ukirejelea kwenye Nyuzi yangu sidhani kama nimeandika sehemu yoyote Ubadili dhehebu au dini yako hamna kifungu hicho
Ila kwenye kasoro hainizuwii mimi kuandika
Mfano makka, Kuliingizwa baadhi ya Mila za western na Walinzi kutoka USA wakawa Wanalinda pale
Zikajengwa obelisk Ambayo moja kwa moja ni Identity ya Shetani na Mungu Hapendi
Hivyo Eti labda kwakuwa mie ni muislam ndiyo nishindwe kureveal Laa hashaa!!
Huyo DaVinci ndiyo mwiba haswa ,wa wakatoliki juu ya mambo aliyokuwa akifuchua hakufukuzwa Italia burebure tu
Kwelii🤝🤝Tunapozungumzia kuruhusu ubongo ujifunze kitu kipya tuna maana kuna possibility kubwa kukutana na mambo ambayo yanakinzana na imani yako?
kweli🤝🤝PAPA ni project ya shetani.
Jibu linapatikana katika Ufunuo 13:2, "yule Joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi."
Angalia ya kwamba MAMLAKA yake inatoka kwa JOKA. Lakini Joka huyu ni nani?
Ufunuo 12:7- 9: "Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule Joka, yule Joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule Joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye."
Joka ni Shetani mwenyewe hasa. Lakini ni lini Shetani alipoudanganya ulimwengu wote? Alipotupwa chini kutoka mbinguni palikuwa na watu wawili tu duniani, na hao ndio walioiwakilisha dunia yote. Kwa kuwadanganya Adamu na Hawa katika Bustani ile ya Edeni, Shetani aliifanya dunia yote ipotee, naye akaimiliki kwa muda. PAMBANO KUU kati ya mema na mabaya, ambalo lilianza kule mbinguni, sasa likawa limehamia katika sayari hii.