Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Wasalaam wakuu

Pope Audiance Hall

Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971

Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka

View attachment 1717036

Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.

Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.

Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.

View attachment 1717025

Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.

View attachment 1717032

Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.

View attachment 1717042

jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani



SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA

View attachment 1717034

La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa


Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata

Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,

View attachment 1717035

Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.

Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao


Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.








DA'VINCI XV
Mkuu
Hii ni hatari mzee.

Serpent in real life.

Code imedadavuliwa
 
Mkuu
Hii ni hatari mzee.

Serpent in real life.

Code imedadavuliwa
Vizuri kabisaaa, na mtu mwenye ubongo mpan kuna kitu atafaidika nacho hapo

Ila wengi tupo kwenye DIMBWI la upofu upofu wa IMANI

who cares🤷‍♂️??
 
If you can't convince them confuse them ndo unachofanya mamaeeeeeeeeee wear
Mamaaaeeeee


Italia umefika unajua editing we kuuumaaaaaa
 
Asilimia ya waliohama RC walipata matatizo ya akili kama tatizo la kulalamika na kushawishi ujingaaaa jada watoto na vijana wakina mashuleni na vyuoni hupata matatizo hayo



1.Amna aliyeliona live

2.Hamna mwenye uhakika lilo hivyi
3.utoto mwingi
 
Unaweza fananisha hio pattern na kitu kingine ukiacha nyoka?

Tunafaham kuwa ubongo huwa una kawaida ya "Ku assign meaning" from "patterns"

Lakini kuna aina mbili za pattern....tuna random patterns, hizi hazina Creator
Ni product ya chance/nature

Kama sura ya MTU mwezini,sura ya nyerere kwenye mti etc...

Ila kuwa designed patterns,mfano sura yako..
Michoro au emoji...

Sasa designed pattern huwa ni intended,yaani zimeundwa kuonyesha hicho unachokiiona
Na haiwezekani kwa watu wawili kuona picha tofauti kwa sababu bongo zetu zinatumia same Mechanism...

Ndio maana nikauliza hapo juu unaweza kuona picha nyingine tofauti na nyoka?...umeona tembo?

Ndipo tunaporudi kwenye Maada
Huo ukumbi wa papa,wahandisi wake walitaka uone unachokiiona,hizo ni design patterns

Sasa swali linakuja kwanini "Nyoka"?

Unonekana unautazama ulimwengu kupitia tundu la kitasa
Your view of reality is very limited
Kwani kuna tatizo gani kuwekwa ishara ya nyoka?

Vipi kama huyo nyoka ame-represent kama nyoka wa shaba aliyetumiwa na mussa?
 
Kwani kuna tatizo gani kuwekwa ishara ya nyoka?

Vipi kama huyo nyoka ame-represent kama nyoka wa shaba aliyetumiwa na mussa?
Reptilian Race ni Hypothesis na hicho ulicho propose hapo pia ni Hypothesis.....

Hypothesis nzuri ni ile inayoweza kuelezea various observations....

Hypothesis yako inaweza kuelezea observations nitakazozitoa?
 
Nyerere aliwahi onekana kwa mti wa embe huko tanga. Naomba ufafanuzi juu ya nyerere na maembe
 
Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye
Wewe mjukuu wa Ellen White upo??
 
Always mtu anaona anachotaka kuona, kama ubongo wako umejipanga kuafananisha na nyoka lazima itafanana, akija mwingine akifananisha na kitu kingine itafanana pia. Kuna mada humu inasema kwenye mwezi kuna picha ya mwanamke kabeba mtoto; hicho ndicho kitu ubongo wake umeamua kuona na atakiona kweli. Kuna ile picha ya monalisa iliyochorwa na Davinch, wanasema ni picha ambayo ina all expressions of human feelings; yani ukiitazama kuona kama anafuaha utaiona, ukitaka kuona huzuni utaiona n.k, n.k. Mimi nilikua naiona siku zote but sikuwahi kuona ivo vitu but the day nilivyoambiwa hivyo nikaenda google kuicheki nikiwa na hiyo mentality na kweli niliziona expressions zote, coz ndicho ubongo wangu ulitaka kuona na kuprove.

Mtahangaika sana kuhusu Pope but this will never change a thing; yani hizi stori mnazotoa zote ni marudio hakuna mpya na hiaitatokea; coz Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume. Mungu kaliinua na hakuna wa kulishusha, Period.
Mkuu umemaliza.Sitii neno.
 
Kuanza na sala ya kuungama huku bado unaishi katika dhambi haisaidii chochote, halafu ondoa uongo wako huo wa biblia kuandikwa na wakatoliki nenda kajifunze zaidi inaonekana hujui chochote
Haya tuambie Wewe Uchebe,Biblia imeandikwa na nani?.
 
Bila kujali kama kweli ni nyoka au la, kwani nyoka ni tatizo? Labda tuanzie hapo. Tuliumbwa tuvitawale vitu vyote, na sio tutawaliwe na vitu. Kuuogopa mchoro wa nyoka ni kutawaliwa na nyoka. Kuogopa kula nguruwe ni kutawaliwa na chakula. Kuogopa chochote ni kukubali kutawaliwa na hicho!

Mathayo 10:16
"...basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua."
Wapige nyundo ya kichwa mkuu.
 
Nimekuelewa mkuu tatizo sisi binadamu wengi wao hatupendi kusoma kuchambua kwa nini hiki kiko hivi, kwa nini dunia moja na Mungu mmoja na dini zipo zaidi ya 10,000/= duniani kote, tunapenda kushikilia kile tukiaminicho na sio kutafuta tafuta na kujifunza kwa nini hii hiko hivi, hii ndiyo maana tunapenda kutafuniwa na sisi kazi yetu ni kumeza tu, ujiulizi ni nini hiki ninachomeza, Asante mkuu nilikuwa sijui na sasa nimejua nimegain kitu kutoka kwenye mada hii, mimi huwa ninapenda kufanya upembenuvi au kutafiti na kuelewa jambo siyo mtu wa kutafutiwa tu na kupewa halafu wewe unaitikia ndiyo mzee!!
Nasema tena asante mkuu mimi nimezaliwa katoliki na kukulia huko lakini leo nimejifunza kitu kutoka kwenye hekalu hili la Papa. Nasema asante sana na Mungu awe pamoja nawe ni raha sana jamiiforum!!
Wewe hushikilii unachoamini?.
 
Back
Top Bottom