Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa maandishi haya, hata wewe una dini tayari, inayoamini kwamba nyoka ni alama ya kishetaniHizi dini nizaidi ya tuzijuavyo, kunamambo mengi sana tunafichwa inaelekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maandishi haya, hata wewe una dini tayari, inayoamini kwamba nyoka ni alama ya kishetaniHizi dini nizaidi ya tuzijuavyo, kunamambo mengi sana tunafichwa inaelekea
Ata kama[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hilo dhehebu ndilo lile ambalo yule jambazi wa kura huwa analitumia kuenezea propaganda zake za kishenzi & kishirikina l
"Kanisa ni Moja,takatifu Katoliki......." Mkuu GREENER , hii sehemu imeandikwa katika kitabu gani cha Biblia?Always mtu anaona anachotaka kuona, kama ubongo wako umejipanga kuafananisha na nyoka lazima itafanana, akija mwingine akifananisha na kitu kingine itafanana pia. Kuna mada humu inasema kwenye mwezi kuna picha ya mwanamke kabeba mtoto; hicho ndicho kitu ubongo wake umeamua kuona na atakiona kweli. Kuna ile picha ya monalisa iliyochorwa na Davinch, wanasema ni picha ambayo ina all expressions of human feelings; yani ukiitazama kuona kama anafuaha utaiona, ukitaka kuona huzuni utaiona n.k, n.k. Mimi nilikua naiona siku zote but sikuwahi kuona ivo vitu but the day nilivyoambiwa hivyo nikaenda google kuicheki nikiwa na hiyo mentality na kweli niliziona expressions zote, coz ndicho ubongo wangu ulitaka kuona na kuprove.
Mtahangaika sana kuhusu Pope but this will never change a thing; yani hizi stori mnazotoa zote ni marudio hakuna mpya na hiaitatokea; coz Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume. Mungu kaliinua na hakuna wa kulishusha, Period.
Unahoji conclusion yetu au ume propose conclusion yako pia?Mimi sijapinga kwamba hilo jengo halina muonekano wa nyoka (naomba unielewe vyema point hii)
Ila nahoji kutaka kujua kwanini conclusion yenu kwa muonekano wa jengo hilo liashirie ni ishara ya ushetani na sio kinyume chake?
Mimi sijaweka conclusion nimeweka suggestion kwa mtindo wa swali ku challenge dhana ambayo wengi wenu humu mnaishikiliaUnahoji conclusion yetu au ume propose conclusion yako pia?
Naweza kukuuliza swali hilo hilo
"Kwanini hio alama ya nyoka i-base kwenye nyoka wa shaba na sio vinginevyo?"
Pia conclusion yangu haija base kwenye ushetani na hakuna pahala niliposema ivyo.....
Mda mwingine kupata reactions nyingi kwa kile kilichoandikwa haaimanishi muandiahi kapatia sana kuandika ,lakin ni wazo LA........ Okay tuishiee hapoAlways mtu anaona anachotaka kuona, kama ubongo wako umejipanga kuafananisha na nyoka lazima itafanana, akija mwingine akifananisha na kitu kingine itafanana pia. Kuna mada humu inasema kwenye mwezi kuna picha ya mwanamke kabeba mtoto; hicho ndicho kitu ubongo wake umeamua kuona na atakiona kweli. Kuna ile picha ya monalisa iliyochorwa na Davinch, wanasema ni picha ambayo ina all expressions of human feelings; yani ukiitazama kuona kama anafuaha utaiona, ukitaka kuona huzuni utaiona n.k, n.k. Mimi nilikua naiona siku zote but sikuwahi kuona ivo vitu but the day nilivyoambiwa hivyo nikaenda google kuicheki nikiwa na hiyo mentality na kweli niliziona expressions zote, coz ndicho ubongo wangu ulitaka kuona na kuprove.
Mtahangaika sana kuhusu Pope but this will never change a thing; yani hizi stori mnazotoa zote ni marudio hakuna mpya na hiaitatokea; coz Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume. Mungu kaliinua na hakuna wa kulishusha, Period.
Even Satan sometimes masquerades as an angel of lightMti mwema hujulikana kwa matunda yake, nitajie movement moja inayoashiria viongozi wa vatcan ni watu waovu na wapinga cristo, achana na hizo picha za ku zoom na kuunga. Je pope yupo kutete man kind au anguko la mankind? Uovu au ubaya ni nini? Kazi ya shetani ni ipi? Utamtambuaje shetani na kazi zake? Kwa kuangalia picha ya kanisa au ukumbi? Think big
uovu ni nini hapo?Nlichokuja gundua watu wanatetea uovu hawapendi ambiwa ukweli....ntakuja na siasa nyingi propaganda kibao lakini those things are useless and demonic
Only sometimes, if he can do good forever then he is not satanEven Satan sometimes masquerades as an angel of light
Kwa wasabato ni picha ya nyoka[emoji23]uovu ni nini hapo?
We PAPA Ndama na PAPA msofe kuongeza A ni matamshi tuuu.Au nasema uongo ndigu zangu!kuna PAPA kiongozi wa kanisa Catholic, PAPA ya father(baba), PAPA yule samaki/ mnyama wa majini, Alafu kuna PAPA wa gigy .....alafu kuna maana gani nyingine ya PAPA mkuu???
"Biblia imeandikwa na wakatoliki" funga mdomo na kaa kimya pumbavuwewe baki kwenye hilo dhehebu lako sahihi uendelee kukanyaga mafuta. Hakuna alieandikiwa barua kuja kusali Katoliki, kama unaimani nalo unasali kama hulielewi unapita vile. Kama hujui Kanisa katoliki sio kanisa la watu wasio na dhambi bali ni kanisa la watu wenye dhambi ambao wanamtafuta Mungu ili waongoke na siku ya mwisho waingie mbinguni; thats why hatuanzi ibada yoyote bila kusali sala ya ' Nakuungamia Mungu mwenyezi" coz hata bible inasema hakuna siye na dhambi sote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu. Huwezi mkuta mkatoliki anajikweza kiimani, sasa nyie mnajiona mmeokoka kuliko biblia we wish you all the best, but kumbuka hata hiyo bible unayoitumia imeandikwa na wakatoliki.
Mkuu kwanza nikupongeze , kuwaza au kufikiria kitu ambacho wengine wengi wakiwemo wanaopongeza huu mchango hawakukiwaza kabla. KONGOLE kwakoMkuu mi pia sina dini ila kwenye hizi dini za abrahmic ( hususani ukristo) dhana ya nyoka imetajwa katika pande zote mbili (kimungu/kishetani)
Ukisoma habari za nyoka katika bible utakuja kuona kwamba nyoka mwenye vinasaba vya ushetani ametajwa mara chache sana kuliko nyoka mwema
Mfano katika historia na habari za kiroho nyoka huwakilisha uzazi au maisha ya kibunifu, nyoka wanapojivua gamba huashiria kuzaliwa upya (immortality) na uponyaji.
Nyoka ameonekana kutumiwa na mungu katika missions za mitume wake
Ukisoma NUMBERS 21:8 mungu alikuwa anampa maelekezo musa kuwa atatengeneza nyoka ambaye yeyote atakaye mtazama atapona ( hapa nyoka kaonekana kama mponyaji)
Ukiendelea kusoma kisa cha mussa utaona kupitia mussa, Mungu amefanya miujiza mingi ya nyoka. Aliweza kufanya fimbo ya musa kuigeuza kuwa nyoka kisha huyo nyoka kuwameza nyoka (wa kishetani) wa farao
Swali langu ni kwanini swala la jengo kuwa na alama ya nyoka litazamwe kwa upande mmoja wa dhana ya ushetani na sio kinyume chake?
Kwamba hayo umeyatoa kichwani kwako??