Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Always mtu anaona anachotaka kuona, kama ubongo wako umejipanga kuafananisha na nyoka lazima itafanana, akija mwingine akifananisha na kitu kingine itafanana pia. Kuna mada humu inasema kwenye mwezi kuna picha ya mwanamke kabeba mtoto; hicho ndicho kitu ubongo wake umeamua kuona na atakiona kweli. Kuna ile picha ya monalisa iliyochorwa na Davinch, wanasema ni picha ambayo ina all expressions of human feelings; yani ukiitazama kuona kama anafuaha utaiona, ukitaka kuona huzuni utaiona n.k, n.k. Mimi nilikua naiona siku zote but sikuwahi kuona ivo vitu but the day nilivyoambiwa hivyo nikaenda google kuicheki nikiwa na hiyo mentality na kweli niliziona expressions zote, coz ndicho ubongo wangu ulitaka kuona na kuprove.

Mtahangaika sana kuhusu Pope but this will never change a thing; yani hizi stori mnazotoa zote ni marudio hakuna mpya na hiaitatokea; coz Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume. Mungu kaliinua na hakuna wa kulishusha, Period.
2706512_Screenshot_20210304-115842.png



2706505_Screenshot_20210303-122710.png


unaona nini hapa mkuu sio snake kweli????
 
Mbona sioni picha yoyote ya nyoka?au umbo lolote la nyoka....ENDELEA kuamin kile unachoamin kwa kuwa AKILI imeamua uamin hivyo..
 
Mkuu kuna conspiracies nyingi sana kuhusu kanisa katoliki..
Usipokuwa mtu wa kuchuja habari, utameza kila kitu...
Nilichojaribu kuelezea hapo ndo ninachokijua, sina vinasaba na Ukatoliki ila jamaa wanasingiziwa mambo mengi sana ambayo ukifuatilia ni hoax tupu.

Ngoja @MTAMZAMO Apite hapa atupe ufafanuzi wa ilo la MISALI.
Uko sahihi na ndio maana comment yangu haija unga mkono HOJA ya hu UZI na wala sijapinga cause katika ku dig out inategemea sources zako ulizitumia; mfano kuna hili la Martin Luther ambaye ndiye mwinzlishi wa Lutheran; ukisoma historia yake kupitia vitabu vya wa protestant utagundua kitu tofauti na ukisoma historia yake kupitia kwa Wakatoliki, now the thing is, mtu anaezungumziwa ni mmoja why historia yake isemwe tofauti?

So it depends na sources zako and this si why nilizungumza habari za somo hili la HISTORIA; unadhani hi ya mama Ndalichako kuhusu Historia ya nchi yetu ambayo wanataka tuanze kufunza watoto wetu inaweza kua sahihi sana? Lazima kuna vitu vitaingizwa ili tu kumpendeza mtu fulani, utashangaa hata mfumo wa vyama vingi utakavyo chakachuliwa ilihali wakati unaanza wengine tulikuwepo na tunazo kumbukumbu zote, nimetolea mfano wa mapinduzi ya ZANZIBAR, tulicho funzwa shuleni ni tofauti kabisa na ukiwasoma akina Visran Khasam, historia, historia, historia.
 
Mimi nina historia tofauti na yako kuhusu Wakatoliki na Biblia, mi najua wao ndio hawakupenda Biblia ijulikane kwa kila mtu na ndio maana wakatengeneza MISALI ya WAUMINI badala ya Biblia. So sijui niamini hi history yako au yangu ninayo ijua? This si why somo la history sikulipenda since nikiwa shule cause you can edit in anyway you want, ukianza kufukua mambo ndio unakuja jua kumbe ulifunzwa uongo; mfano, unajua historia ya mapinduzi Zanzibar? Shuleni nilifunzwa kwamba Karume ndio aliongoza mapigano, ukubwani huku nakuja kufunzwa na waliokuwepo kwamba, mzee wa watu alikua zake Dar, ni kina Tito Okelo ndio waliongoza na wakampa na urais halafu baadae akapotezwa, historia, historia, historia, nimeitamka mara 3
Na wasabato je?,Mna Hadi Biblia zinaitwa Biblia za Watoto.Jinga kabisa nyie
 
Hi ya kanisa ni moja takatifu katoliki la mitume huaga mnaitoa wapi? Someni Biblia, hakuna kitu cha namna hiyo, soma mwanzo hadi ufunuoa, HAKUNA. This is why sikupenda sana somo la historia shuleni, historia sometimes watunzi huiweka ili ku sweet matakwa yao. Fikiria yule mwamba aliyetoa kwamba Binadamu tunatokana na Nyani, na yenyewe nayo ni historia, tukaamini kumbe ukianza kujiuliza maswali unaona kabisa kwamba pale tulipigwa; mbona Nyani wa sasa hvi hawabadiriki na kua binadamu? Well, tafuta kujua vizuri historia ya Ukristo, utagundua huo unao usema UKATOLIKI uliingizwa na wana siasa ili kutawala vizuri dunia na wala wenyewe hao wana siasa hawakua Wakristo. But anyway, cause ni historia, nashauri soma Biblia tu
Vipi kuhusu Ellen White kuwa nabii wenu?, Imeandikwa wapi katika Biblia?.
 
Hakuna dini iliyo sahihi ni vikundi kwa ajili ya maslahi ya watu fulani.
 
Vipi kuhusu Ellen White kuwa nabii wenu?, Imeandikwa wapi katika Biblia?.
Sijui kwanini huaga mnadhania kila anae andika kuhusu RC hua mnadhania ni MSABATO; now to answer your question ni kwamba huyo mtu (Hellen G. White ) namchulia kama nabii wa UONGO kama walivyo manabii wengine wa UONGO. Una swali lingine?
 
Sijui kwanini huaga mnadhania kila anae andika kuhusu RC hua mnadhania ni MSABATO; now to answer your question ni kwamba huyo mtu (Hellen G. White ) namchulia kama nabii wa UONGO kama walivyo manabii wengine wa UONGO. Una swali lingine?
Ndiyo.Wewe unaabudu Kanisa gani??
 
Always mtu anaona anachotaka kuona, kama ubongo wako umejipanga kuafananisha na nyoka lazima itafanana, akija mwingine akifananisha na kitu kingine itafanana pia. Kuna mada humu inasema kwenye mwezi kuna picha ya mwanamke kabeba mtoto; hicho ndicho kitu ubongo wake umeamua kuona na atakiona kweli. Kuna ile picha ya monalisa iliyochorwa na Davinch, wanasema ni picha ambayo ina all expressions of human feelings; yani ukiitazama kuona kama anafuaha utaiona, ukitaka kuona huzuni utaiona n.k, n.k. Mimi nilikua naiona siku zote but sikuwahi kuona ivo vitu but the day nilivyoambiwa hivyo nikaenda google kuicheki nikiwa na hiyo mentality na kweli niliziona expressions zote, coz ndicho ubongo wangu ulitaka kuona na kuprove.

Mtahangaika sana kuhusu Pope but this will never change a thing; yani hizi stori mnazotoa zote ni marudio hakuna mpya na hiaitatokea; coz Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume. Mungu kaliinua na hakuna wa kulishusha, Period.
[emoji1635][emoji1635]
 
Nauliza mkuu.
Ndio hivyo, mie sio Msabato na wala sina ndugu hata mmoja ambe ni Msabato; chimbuko langu la KIDINI ni RC, kua kwenye chimbuko hilo hakunifanyi nisihoji chochote ingawa pia kwenye hu uzi hakuna sehemu nimelisema vibaya thehebu hili, nimeonesha upande wa pili ninao ujua through michango ya watu kama 2 hivi.
 
Wasalaam wakuu

Pope Audiance Hall

Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971

Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka

View attachment 1717036

Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.

Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.

Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.

View attachment 1717025

Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.

View attachment 1717032

Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.

View attachment 1717042

jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani



SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA

View attachment 1717034

La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa


Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata

Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,

View attachment 1717035

Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.

Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao


Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.








DA'VINCI XV
Tazama muonekano wa majengo ya UDOM kisha unipe tafsiri yako
MAJENGO YA UDOM.jpg
 
Back
Top Bottom