Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Academically
Architect huwa wana kitu kinaitwa concept, si ajabu huyo mbunifu alimtumia nyoka kama concept tu na s swala lingine. Kama n hivyo basi n lazima jengo liwe la mtindo huo ili liendane sawa na hio concept.

Spiritually
Inawezekana kuna kitu kimefichwa nyuma ya huo muundo wa jengo

You see the world the way you are.
The greatest enemy of education is an illusion of knowledge.
concept ya nyokakwenye jengo la kuwakilisha dini ambayo inamfananisha nyoka na shetani au nyoka kuwa alama ya shetani? Kama ndio hivyo walionunua mchoro hawakutathmini? afu mbona hadi leo hii wasibadili hiyo design

Hili jambo lipo hata kwenye bunge la umoja wa ulaya huko
 
🤝🤝🤓
 
Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye

Kukashifu ni haki yako ya kikatiba. Dhehebu sahihi ni lipi kwa mtizamo wako?
 
wewe baki kwenye hilo dhehebu lako sahihi uendelee kukanyaga mafuta. Hakuna alieandikiwa barua kuja kusali Katoliki, kama unaimani nalo unasali kama hulielewi unapita vile. Kama hujui Kanisa katoliki sio kanisa la watu wasio na dhambi bali ni kanisa la watu wenye dhambi ambao wanamtafuta Mungu ili waongoke na siku ya mwisho waingie mbinguni; thats why hatuanzi ibada yoyote bila kusali sala ya ' Nakuungamia Mungu mwenyezi" coz hata bible inasema hakuna siye na dhambi sote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu. Huwezi mkuta mkatoliki anajikweza kiimani, sasa nyie mnajiona mmeokoka kuliko biblia we wish you all the best, but kumbuka hata hiyo bible unayoitumia imeandikwa na wakatoliki.
mkuu Yaani unatetea utafikiri wewe ndo pope mwenyewe
Tuendelee kujifunza maandiko. hizi dini tumerithi toka kwa wazazi/ukoo .
Mimi bado ni mwanafunzi wa Yesu. najifunza kila ninalokumbana nalo
 
Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye
Kila la kheri mkuu huko uliko ambako ni sahihi. Tuachieni dhehebu letu. Hata hiyo biblia imeandikwa na wakatoliki usisahau.
 
Tuacheni na dhehebu letu nyie endeleeni kuombewa na waombezi wanaozama baharini kuja kuwapaka mafuta ya upako
 
Wasalaam wakuu

Pope Audiance Hall

Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971

Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka

View attachment 1717036

Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.

Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.

Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.

View attachment 1717025

Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.

View attachment 1717032

Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.

View attachment 1717042

jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani

SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA

View attachment 1717034

La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa

Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata

Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,

View attachment 1717035

Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.

Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao

Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.

DA'VINCI XV
Mkuu umeongea kiashiria vya maana sana of what the Roman Catholic church really is.Frankly asiyetambua what the Church of Rome represents mpaka leo is a very small mind.The Church of Rome is currently the seat of Lucifer.That is as blunt as it gets.
 
shukraani mkuu
 
Wasalaam wakuu

Pope Audiance Hall

Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971

Lakini katika Jumba hilo, sanamu na muundo wa jengo hilo ni za kushangaza na watu wakaanza kutilia shaka

View attachment 1717036

Jumba la Wasikilizaji la Papa lilivyoundwa na kufanana kwake na maumbile ya nyoka. muundo huu wa kipekee unaonekana sehemu ya juu tu ndani na nje.

Jumba hili la Wasikilizaji la Paul VI, Lilianza wakati waa Papa Paul wa Sita, ambaye alikuwa kutoka 1963 hadi 1978. Inavyoonekana alikuwa Papa mwenye heshima, ingawa amehusishwa kuficha au kupuuza unyanyasaji wa kijinsia wa wavulana na washirika wa Katoliki kutoka kwa makasisi.

Aliarifiwa kuhusu kashfa hizi katika barua ya Mchungaji Gerald M.C. Fitzgerald mnamo Agosti 1963, na alishauriwa kuchukua hatua kali dhidi ya washenzi hao
Lakini hakuwahi kufanya chochote.

View attachment 1717025

Katika eneo la juu la jengo hilo linasimama kwa sura yake isiyo ya kawaida, ambayo ikachorwa kwa mfanano wa kichwa cha nyoka.

View attachment 1717032

Angalia kufanana kwa sura, paa la kuezekea na ngozi, na macho.

View attachment 1717042

jengo hili Liliundwa na mbunifu wa Kiitaliano aliyeshinda tuzo
bwana Pier Luigi Nervi, jengo hilo limebuniwa na huchukua watu 6300 kwa mkutano na Papa mwenyewe, ambaye huwa anawasilisha tarifa kutoka jukwaani

SANAMU YA YESU YENYE MFANO WA NYOKA

View attachment 1717034

La Resurrezione, sanamu hiyo iliundwa na Pericle Fazzini. na huku wakiweka wazo la Kristo akiinuka kutoka kwenye mlipuko ,mlipuko wa nyuklia. Ndivyo sanamu hiyo ilivyotengenezwa

Cha kushangaza, kutoka kwa pembeni, kwenye kichwa cha Kristo kinaonekana kama kichwa cha nyoka aliye na meno aliyefunua mdomo wake kwa ajili ya kung'ata

Mambo ya ndani ya Ukumbi huu hufanana sana na nyoka, cha kushangaza na meno mawili yaliyowekwa juu ya jukwaa. Wote kutoka kwa jukwaa, na kwa njia ya kuingia ya watazamaji, chumba bila shaka kinafanana na nyoka,

View attachment 1717035

Wengine wamedai watu huandika hii kama mawazo ya udanganyifu, wakionya watu mbali na kuzingatia kwa kina.

Huku wengine wakipinga zaidi kwakuwa ni swala linalogusa Imani Zao

Huku wengi wakihususha Mfumo huo kama heshima na Utambulisho kwa Nyoka alieasisi dhambi kuingia Duniani pale Eden
hii yote ni kutokana na Lawama wanazotupiwa Mapapa na Vatcan juu ya kuwa Controlled chini ya shetani
Huku wakiwa na Vikundi vya Siri siri vilivyo Chini ya Shetani kama Priory of Sion na vinginevyo.

DA'VINCI XV
Freemasons Wana amini Mungu Ana umbo la nyoka . So kwao nyoka ni kiumbe mtakatifu
 
Back
Top Bottom